Aunty Ezekiel Afunguka Makubwa Kwanini Ameamua Kuondoka UKAWA na sasa Kuisupport CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Nimeamua kuondoka Chadema na vuguvugu la Ukawa kwa sababu mbalimbali: moja ni ubovu wa kimfumo katika uongozi, uratibu na misimamo. Fujo: Wafuasi wengi Ukawa bado wana muhemko kwenye kufanya mambo. Naamini uongozi wa nchi unahitaji busara kuhimili kazi. Tumefeli hilo. Kwa siku 39 zilizobaki nitaongea na mamilioni ya mashabiki wangu kuhusu msimamo wangu. Naondoka Chadema, nitamuunga mkono Magufuli". Hayo ni baadhi ya maneno aliyoandika Aunt Ezekiel

Neno moja kwa Aunt Ezekiel.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ant Ezekiel ,Tulishapaata taarifa kuwa mnafikiwa na mafungu ili muikane ukawa.Hameni wote ila wavuja jasho la nnchi hii tupo na mabadiliko ya kweli.Yaani ukawa.sema unachoweza lakini umkombozi wa kweli tunajua uko wapi.usidanganye watanzania.hukujua hayo mapema.

    ReplyDelete
  2. Karibu mama kuki

    ReplyDelete
  3. Bwana wake ni dansa wa Dimond, rafiki yake wema wote wapo ccm, nilitegemea hii kitu itatokea sema ukawa hawakulijua hilo mapema

    ReplyDelete
  4. Njaa mbaya, umekuta hakuna fungu, kule full kujitolea, nenda kule kuna pesa za walipa kodi

    ReplyDelete
  5. Unajua nyinyi wasanii wa Tanzania akiri yenu ndogo Sana,nilitegemea uchaguzi huu ingekuwa ndo ukombozi wenu lakini mnapewe pesa kidogo kuwachanganya Na nyinyi mnakubali,dunia watu ambao Ni matajiri Na kipato kikubwa Ni wasanii ila nchi ya Tanzania maskini wakutupwa omba omba Ni wasanii,watu ambao mnawapigia debe wachukue tena nchi Ni hao ambao kwa miaka yote wameshindwa kuwasimamia kazi zenu hampati chochote Leo eti mnawasapoti kweli akili yenu ndogo njaa Kama kunguni

    ReplyDelete
  6. Wolper atakunyonga weyeeee, shauri'ko, unamtosa baba'ke!!

    ReplyDelete
  7. Waaaoooh!! Karibu karibu 'sshemegi', karibu barazani, ukumbini hadi chumbani

    ReplyDelete
  8. Haloooo mama yake na Cookie, karibu huku kwetu kuna 'asali' na 'maziwa', waache hao akina Jack na 'robbot' lao lisilo 'uzika' mpaka ulisugue na msasa kwanza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kashfa hakuna cha maana unachopata kwa kutoa maneno ya dhihaka kiasi hicho.

      Delete
  9. Kwa msanii yoyote mwenye akili timamu na mwenye kukumbuka fadhila, hawezi kuikana CCM, maana JK anawapigania mno wasanii kuliko hata walimu!! Hongera sana sana Aunt kwa uamuzi wako, nadhani dhamira yako 'imekusuta' kama ilivyo 'msuta' Lipumba kwa Lowasa.........karibu mummy......

    ReplyDelete
  10. Umetangulia wengine watafuata..........Magufuli woyeeeee, CCM juu, juu, juu zaidi.
    Njano na kijani zitakupendezaje?????

    'Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele, nawavimbe wapasuke, watajijua wenyewe, waacheni waandamaneee, CCM mbele kwa mbele.......'

    ReplyDelete
  11. KAONA WASANII WENZAKE WANAPETA KWA MAGUFULI WAMEPEWA GARI LA KUTEMBELEA

    ReplyDelete
  12. Ndio mana ukawa walipofanya kampeni Jana kahama tulikataa wasanii wasiimbe mana ni wanafki sana na wapoteza maendeleo ya taifa isitoshe hatuhitaji Malaya ukawa tunahitaji watu makini wanaojitambua hao wakajiuze uko ccm ndio mahali pao na mtabakia na Sana'a zenu za kibongobongo kamwe hamtofika mahali alikiba alitoa kolabo na r Kelly gafla imekufa haikutamba now diamond na neyo msishangae na yenyewe kuwekwa pembeni waigazaji ndio bureeee ushabiki tu wakijinga tens ukawa hawakujua wasingewapokea kabisa uku ni kwa watu kama process j Roma sugu na wagumu kama hao watu wanaojali maslahi ya taifa nyie wengine wabinasfi kama baba yenu ccm

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna lolote hizo kelele tu za chura.nani alikwambia watanzania wote lazima waipende cdm? Au huelewi maana ya vyama vingi?kila mtz yupo huru kwenda chama anachokiamini.

      Delete
  13. Wasanii hawa hawana mpango wowote zaidi ya njaa. baada ya uchaguzi mtawaona wanavyo lia njaa na kuyumba yumba. Siasa sio lele mama

    ReplyDelete
  14. kale ant ezekiel,najua nafsi yako inakusuta.bado utapigia kura ukawa.wachukue na wemgine.
    Ray anakuja leo.Ondokeni wote.Mjue kunamaisha baada ya uchaguzi.anti nenda kura pigia kama kawa.

    ReplyDelete
  15. Si hela jamani,halafu kuna watu wanawashabikia wakati ata hela ya kununulia chapati hawana,wenzenu wamevuta hela na familia zao nyie pigeni makelele,UKAWA hawagawi hela ,sasa nyie wavuja jasho endeleeni kuwashabikia wakati wenzenu wanakula bata,bongo muvi yenyewe imebuma,mume mkata viuno,wewe kama mwanamke aliweza kumsaliti mumewe yupo jela na kubeba mimba na mkata viuno sembuse UKAWA?

    ReplyDelete
  16. KUWENI WA KWELI. KUNA MTU ANAMWAGA PESA KAMA LUWASSA
    NA TAMAA YAKE YA KUINGIA IKULU.
    KWANINI ASINDE CHADEMA LONG AGO, BAADA YA KUENGULIWA JINA
    NDIO KAONA AONDOKE
    NA YULE MR 0 . UCHU WA MADARAKA. KACHUKUWA ENEO LA WANA NCHI
    EKARI CHUNGU NZIMA,. HANA SOKO CCM NDIO KAENDA UKAWA. NA ALISEMA
    CCM IKIMTEUWA LOWASSA KUWA RAIS WA NCHI. NAONDOKA CCM.
    WATANZANIA WENZANGU.
    HIVI HAMUONI KAMA HII NI GAME NA UCHU WA MADARAKA. NANI ASIYEJUWA
    UTENDAJI KAZI WA. SUMAYE ? WA LOWASSA ? WA MAGUFULI. HEBU PIMA
    KILA LA KHERI

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe hujui siasa, hakuna kiongozi yoyote anaeingia ktk ulingo pasipo kuwa na uchu wa madaraka hata huyo magufuli ni mroho wa madaraka kwani hatujui aliposhushuriwa kuhusu bomoabomoa isiyo na hekima wala busra c alitaka kuachia ngazi mbona hakuachia ka ye ni muadilifu ktk siasa hakuna mbae ni msafi hata kidogo kwa siasa za majitaka za kitanzania ambazo ndo sa ivi zinatumika kutafuta vyeo kwa kuwachafua wengne ili mradi waonekane wazuri na pasipo na tafakari ya kina nasi tunaingia kwe mkumbo na kuthubutu hata kukashifu na kuwatusi wengne pasipo hata chembe ya aibu na kuendelea kutoa comment ambazo ni za ushabiki tu na ma2c kwa sana.

      Delete
  17. Fweza ndio mpango mzima, fweza ndio kila kitu, mbowe kauza chadema kwa Lowasa kwa fweza, mbatia kauza NCCR kwa fweza, CUF wameuza mpaka mgombea kwa ajili ya fweza, hebu mumuwache mama cookie, kipindi chenyewe hiki ni cha-mpito, kikipita ndo basi, huyo lowasa akipata atamjua Anti?? Hata wewe unayechonga hujampata wa kukupa hiyo fweza, ungechukua.........akina Wema wanapeta na costa mpyaaaaaaa yakutembelea wamepewa, ukawa wameambulia magwanda tu, inahusu!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa kweli Taifa hili linakosa watu wenye mawazo ya kujenga na kushabki eti mtu kuhongwa na kuona ni kitendo cha kishujaa sana. Lakini kumbukeni baada ya ayo yote tutarudi kwe zama zetu za kuvuja jasho kama kawa.

      Delete
  18. Kaondoka Dr slaa katibu mkuu was Chadema were no nani haswaaaa ushitue watu njaa mbaya huna dili na wema wala hakupi tendon ovyooooo ndoa yako imekushinda utaiweza ya ukawa

    ReplyDelete
  19. PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS POWER.

    ReplyDelete
  20. KUWA ORIGIONAL AUNT. UKAWA NDIO YENYEWE!!! MTAONA 25 OCT

    ReplyDelete
  21. wakitoa chadema ni wanaharakati, wakitoa ccm hongo. viajana wenzangu jaribuni hata kidogo basi kujiongeza, chadema ni kuzuri shida kubwa iliyopo na inanipa wasiwasi sana hata kama mtashika madaraka ni namna ya maamuzi yenu hata viongozi wenu wote wanaongea kwa jazba sana kama watu ambao hakujipanga chakuongea. ndio maana CCM inazidi kupata heshima kwa kuwa na viongozi wenye hekima. muacheni Aunt afanye anachotaka maana ni mtu mzima kwanini aogope watu

    ReplyDelete
    Replies
    1. wangekuwa na hekima wasingejaribu hata kidogo kuikataa rasmu ya mzee warioba make ile ndo ingetuvusha hapa tulipo. angalia mabilioni ya walala hoi yalivyotumika pasipo huruma na kuacha leo mifuko ya jamii ikiwa mitupu. Mi naamini kuna siku ukweli na uozo wa viongozi wa ccm utajulikana na tushanza kuona baadhi ya dalili.

      Delete
  22. Kila mtu anahaki ya kukisapot chama chochote akipendachow

    ReplyDelete
  23. Naiangalia Tz kwa uchungu hasa huku tuendako kwani pesa imeweza kutumika vibaya hadi sasa watu wamekuwa na ujasiri wa kuzungumza uongo mbele ya hadhira pasipo chembe ya aibu hata kidogo.

    ReplyDelete

Top Post Ad