Baa ya Baracuda, Tabata na Check Point ya Chanika Washindi wa Wiki Fanyakweli Kiwanjani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkazi wa Tabata Proper Maro (wa kwanza kulia) akipokea zawadi yake ya mfuko wenye fulana toka kwa balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi (kushoto) wakati wa wa hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam ambapo promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ilifunga kambi eneo hilo mwisho wa wiki iliyopita kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wa shindano la Fanyakweli kiwanjani. (Katikati) ni Mshereheshaji wa promosheni hiyo na mtangazaji wa redio E-fm Gadner Habbash.

Mkazi wa Tabata Magengeni, Gerald William (36) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi (Kushoto) katika hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. (Kulia) mshereheshaji wa kampeni hiyo Gadner Habash. Kampeni hii inaendelea mikoani pia ambapo itawafikia wakazi wa; - Arusha, Mbeya, Mwanza, Moshi na Morogoro.

Mpenzi wa bia ya Tusker Salima Ally (katikati) akifurahia zawadi yake ya fulana aliyopokea toka kwa mtangazaji wa redio Efm na mshereheshaji wa kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash wakati kampeni hiyo ilipofunga kambi katika baa ya Check point Chanika kuipongeza baa hiyo  iliyoibuka mshindi wa wiki kwenye shindano la Fanyakweli Kiwanjani linaloendeshwa na bia ya Tusker. Nia ya kampeni hiyo ni kuhamasiha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli wanapotoa huduma kwa wateja wao. 

Mpenzi wa bia ya Tusker Njau Dismas (katikati) akitabasamu mara baada ya meza yake kufikiwa na zawadi ya mfuko wenye fulana na kalamu katika hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Nia ya kampeni hiyo ni kuhamasiha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli wanapotoa huduma kwa wateja wao. (Kulia) ni Mshereheshaji wa kampeni hiyo Gadner Habash na kushoto ni balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad