HATIMAYE DR Slaa Yupo Tayari Kuongea Kilichomsibu Chadema Mpaka Kuacha Siasa..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Dkt. Wilibrod Slaa, kesho tarehe 1 Septemba 2015, atavunja ukimya kwa kuongea na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wake na waandishi wa habari. 

Mhe. Dkt ameandaa mkutano huo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, leo kuanzia saa NANE mchana, mkutano ambao utarushwa moja kwa moja na vituo vya televisheni, radio na mitandao ya kijamii vya hapa nchini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad