Magufuli Azomewa Jijini Mbeya.....Wananchi Wasema Wanamtaka Lowassa. Hapa kuna Video Mbili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA






Katika  hali  isiyo  ya  kawaida,Mgombea  Urais  kwa  tiketi  ya  CCM, Dr. John Magufuli  leo  alijikuta  katika  wakati  mgumu  baada  ya  kukutana  na zomea zomea  ya  kundi  la  vijana  waliovamia  msafara  wake  akiwa  njianI  kuelekea  Mbarali  na kuanza  kuimba wakidai  Lowassa  ndo  Rais  wao....Tazama  Video hii

Pamoja  na  kadhia  hiyo,Magufuli  alifanikiwa kufika  Mbarali  na  kuhutubia  maelfu  ya  wananchi  ambao  amewaahidi  kushughulikia  migogoro  yao  ya  muda  mrefu  ambayo  imekuwa  kete  ya  kuombea  kura  kwa  baadhi  ya  wanasiasa  wenye  uchu  wa  madaraka. Tazama Na Hii

Dr. Magufuli  leo  pia  amefanya  mikutano  kadhaa  ya  kampeni  mkoani  Iringa  ambako  alilazimika  kumalizia  viporo  hivyo vilivyokuwa  vimebaki  mkoani  humo. 
Wananchi kwa maelfu wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia huko Makambako mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.



Wagombea wa nafasi mbalimbali wa Mafinga wali-Magufulika mbele ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika jimbo la Mafinga mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.

Source:Mpekuzi Huru
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HII NDIYO TANZANIA,NA HAWA NDIYO WATANZANIA WA LEO HAW KUBALI HUJUMA NA AMA MAONEZI KWA KIPENZI CHA WATANZANIA TULIO WENGI YALIYOTOKEA MBEYA NI ELIMU TOSHA NA FUNDISHO KWA MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM JOHN POMBE MAGUFULI KWAMBA ANAMOPITA KUHUTUBIA BASI NA AWE MSTAARABU,AZUNGUMZIE YAKE,AJINADI YEYE KAMA YEYE.LAKINI AKIENDELEA KUMKASHIFU NA KUMTUKANA MHESHIMIWA LOWASSA,CHAGUO LA WENGI,RAIS WETU MTARAJIWA WA AWAMU YA TANO,BASI MAKUBWA ZAIDI YA HILI LA MBEYA YATAMKUTA.CCM MSIAMSHE HASIRA ZA WATANZANIA,TUNAWAHESHIMU NA NYINYI NI WAJIBU WENU PIA KUTUHESHIMU.HALAFU TENA LA PILI JEE MNAONA KINACHOPELEKEA ULEGEVU NA UZANDIKI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA UPENDELEO WA WAZI-WAZI INAOUFANYA KWA CCM UNAVYOWEZA KULILTEA TAIFA LETU MAJANGA? MNAAMBIWA MAGUFULI ANAMTUKANA LOWASSA,KIMYA! MNAAMBIWA BULEMBO ANAMTUKANA LOWASSA,KIMYA! MNAAMBIWA MWIGULU ANAMTUKANA LOWASSA KIMYA! MNAAMBIWA MAKONGORO ANAMTUKANA LOWASSA,KIMYA! PATA FUNDISHO MAGUFULI,PATENI FUNDISHO TUME PATENI FUNDISHO CCM.

    ReplyDelete
  2. Ikulu na bungeni kitakua ni uwanja wa pushap

    ReplyDelete
  3. Na hii ndo dawa Yao wote zomea zomea tu

    ReplyDelete
  4. Ingekuwa Lowassa mgeseme oneni gharika lakini mnatuletea hii clips edited wallahi itakuwaje katika umati ule wakati kamera inazunguka kuchukua picha ya tukio sauti ni ile ile inajirudia TCRA mko wapi kamata hawa wajinga wanaleta fitina wataipeleka pabaya hii nchi maana hawa waandishi wakereketwa uchwara wana onekana dhahiri wamehongwa

    ReplyDelete
  5. HAA IMEKUWAJE TENA,JAMANI MBONA YEYE MAGUFULI ANASEMA ATASHINDA KWA ASILIMIA 95.KUMBE NI MWEHU EE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Atashinda,ni lazima opekee kijiti kutoka kwa kikwete.
      Kikwete hawezi kupotezea kijiti kwa wenye uchu wa madaraka

      Delete
  6. na sisi wa dar-es-salaam tunakusubiri kwa hamu kubwa uwone jinsi ambavyo tunavyompenda LOWASSA.tutakuimbia kwa nguvu zote,shangwe na vigelegeleLOWASSA,RAIS,LOWASSA RAIS uwatumie polisi wako watuweke ndani wananchi laki moja ie 100,000.hii ni rasha rasha bado mvua tarehe 25 octoba 2015. CCM BYE-BYE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sema mimi nakusubiri dar kwa hamu sio sisi

      Delete
  7. Eti amehaidi kushugulikia migogoro ya muda mrefu, sasa ataweza VP serikali yake ya ccm imeshindwa? I believe him he is good,but his people ambao wamemzunguka are corrupted,so hatoweza, labda kwa miujiza,yani bora angesimama mwenyewe bila ccm

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata siasa ya nchi yako hujui,

      Delete
    2. LOWASA HAKUWEPO CCM?BILA MIUJIZA NDUGU,TINGATINGA ANAPITA TU.

      Delete
  8. PEOPLES POWER!!!

    ReplyDelete
  9. Ni kiasi cha kutumia akili,najiuliza mbona wanaozomea ni wachache kuliko waliosikiliza kwa makini mkutano huo?AKILI KICHWANI.

    ReplyDelete
  10. ha ha ha imewauma ndio hali ilivyo vumilieni

    ReplyDelete
  11. hahahaaaaa ningekua mimi ningetupa maiki na kuingia ndani ya gari, magufuli nalo ni fisadi tuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. KIONGOZI JASIRI HAWEZI KUOGOPA KELELE ZA CHURA KISIMANI.

      Delete
  12. hahahaaaaa ningekua mimi ningetupa maiki na kuingia ndani ya gari, magufuli nalo ni fisadi tuu

    ReplyDelete
  13. Replies
    1. Inahusu nini Wema's day hapa
      Kwani Wema ni mke wa magufuli
      Wote zomea hao

      Delete
  14. kila mshindani lazima ajinadi ushindi!! acheni uvimba macho!!
    uliona wapi mwanafunzi akafanya mtihani akajipa 5 / 100? kila mtu hutamani apate zote!!

    Magufuli hajamsema Lowasa chochote!!
    yeye vitendo ndo vinawauma? mboona nyie hamtupi sera?
    eti tukazsome katika mitandao. mxxxxxxxxxxxxxx
    tumeichoka CCM lakini kwa huyo mgombea wenu bora MAGUFULI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. your plural presentation shows either you are a layman who doesn't know where you are even coming from and the worst thing you are hiding your side instaed of exposing it. This is the sole character of ccm

      Delete
    2. Hakuna mzima CCM mbona Kila Leo majuuu kutibiwa
      Umeme wote huo
      Lakini mmelivalia njuga la Lowassa
      Lowassa habari ngoma na nyinyi vigoli WA kike manaoshabikia CCM
      Aandaeni makaburi yenu
      Dozi ishapanda bei

      Delete
  15. CCM ni wastaarabu mno, hawawezi kufanya 'ushenzi' kama walofanya cdm,kama kuzomea tungemzomea huyo alojinyea jukwaani......MAGUFULI TINGA TINGA.....HAPA KAZI TU.......

    ReplyDelete
  16. Najua nyie 'wapumbavu' na 'malofa' mtachekelea hicho kitendo cha 'kihuni', lakini kitendo hicho hicho kingefanywa na wana CCM mngechonga sana, na hao akina Helen Kijobisimba ungewasikia povu linavyo watoka kwa kukemea, lakini kwa kuwa walofanya hivyo ni 'wenzao' wamekaa kimya.......ni heri kutawaliwa na jeshi kuliko kumpa nchi huyo 'wakujinyea'............

    ReplyDelete
  17. Mafunguo ndio mpango mzima walio zomea sio wana ccm ni Chadema wala sio ukawa hakuna ukawa hapo wanaburuzwa chama ni cha chadema mgombea uraisi na makamu wote chadema, all in all TINGATINGA NDANI YA IKULU TENA KWA KISHINDOOOOOI

    ReplyDelete
  18. unaogopa plural expression we pimbi akili yako iko sawa sawa kweli?,unasumbuliwa na uanaharamu wako,unauliza sisi ni akina nani mbona hatutaji majina yetu.ajabu ya mungu,wewe unaye uliza hivyo pia haukutaja jina lako.hivi kweli ubongo wako uko sawa au na wewe ni FYATU KAMA BABA YAKO..sikiliza tunarudia tena KAMWE IKULU HATAKWENDA MWEHU,yaani mnamuangalia rais wenu anawapigia push up mabalozi wa kigeni wanaokwenda kujitambulisha ikulu,anaruka juu ya gari badala ya kufungua mlango.ni rais wa aina gani duniani,ewe mwenyezi mungu tuepushe.

    ReplyDelete
  19. tyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

    ReplyDelete

Top Post Ad