Mwanamuziki Kalapina Ashinda Rufaa ya Pingamizi la Kugombea Ubunge Kinondoni iliyowekwa na Iddy Azan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alhamdululahi namshukuru mwenyezi mungu nimeshinda rufani yangu dhidi ya pingamizi LA azan Idy Mohamed na sasa hivi ni mgombea halali ubunge Jimbo LA kinondoni act_wazalendo
By Kalapina
____________________
Facebook Comment From Mange Kimambi 
Kwa issue hii ya wauza ..... Kuwa wabunge naweka uchama pembeni ....Wow, Kalapina amenigusa, ni mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT katika jimbo la Kinondoni. Kalapina ni mwanaharakati wa madawa ya Kulevya Yani Amekuwa mstari wa mbele kabisaaaa kuwasaidia waliothirika na madawa ya Kulevya.... Aisee naomba tuungane kumsuppport Huyu kaka aweze kushinda Ubunge jimbo la Kinondoni...... Yes Kinondoni inahitaji mwanaharakati Kama Huyu...... Jamani kampigieni Kura Huyu kijana... Iddi Azzan alimwekea kipingamizi akatolewa Ila akakata rufaa na kushinda na sasa karudi kwenye kinyang'anyiro .... Jamani hata Kama ulijiandikisha kupiga Kura kituo kingine unaweza still kwenda kupiga Kura kituo cha Kinondoni na ukamchagua Kalapina.Twende na Kalapina...... @rayc1982 @rayc1982 tunaomba support yako tafadhali
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad