Reginald Mengi Ajitoa Rasmi Kwa Lowassa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

By Aisha Idd/Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ASANTEEEEEEEEEEEEEEEE!

    ReplyDelete
  2. Watu wakihama CCM mnachekelea, mtu akihama UKAWA mnatukana. Hii ni siri nawapeni nyie mnaotukana hovyo, nyinyi ndio mnaosababisha wananchi kuichukia chadema, na mnaonekana ni watu wa fujo. Mbona wanaCCM huwa hawamtukani mtu akihama chama?? Huku kwetu mtoto akiwa na fujo utasikia, 'unafujo kama chadema'........Nadhani Tundu Lisu na yule mvuta bangi wa Mbeya sugu wamewaharibu kwa mihemko yao...Ikulu mtaiona kwenya TV wakati wa sherehe za kitaifa

    ReplyDelete
  3. Ajitoe asijitoe sisi lowassa mpaka kieleweke ikiwezekana asirushe vipindi vya ukawa kwenyestation Kama ambavyo havirushwi star tiv na TBC hatupunguzii kitu chochote sisi tunangalia utaifa wetu hatupo kinaslai kama wasanii na hao matajirwakina mengi ambao hawajui uchungu Wa wananchi mpo hapo kenge nyie

    ReplyDelete
  4. Kwakweli tunashangaa, mtu akihamia Chadema mnaona sawa, mtu huyohuyo akihamia CCM inakuwa ishu...why?? Hivi Chadema ya sasa hivi ina tofauti gani na CCM? Ikiwa yale mafisadi PAPA yamehamia Chadema a.k.a. CCM B, kuna haja gani tena mtu kubaki na Chadema??

    Tafadhali msisemee nyoyo za watu, kama huipendi CCM sema wewe binafsi huipendi, sio kusema watu hawaipendi......yaani mimi ukinichanja mwilini natoa kijani na njano, NAIPENDA CCM MPAKA NAUGUA.........J.P. Magufuli ndio mpango mzima.......CCM mbele kwa mbele

    ReplyDelete
  5. habari kutoka JF..uzushi mtupu

    ReplyDelete
  6. BABA KWANI WEWE SI NI SISIEM TANGU ZAMANI

    ReplyDelete
  7. Mango, mageuzi ni mageuzi. Nakushangaa.siielewi kauli yako na kama unamsimamo wako binafsi. Kama ni muoga mfanyabiashara muhimu halafu unawafuata mashangingi sikuelewi. Akina mama ntilie, wanyonge wataleta mabadiliko mpende msipende. Kikwete ndiye kiongozi wa mafisadi. Kiongozi wa nchi badala ya kuongea maneno kama mswahili, alipewa cheo cha juu kashindwa kufunga Lowassa badala yake anapiga porojo nanyi mnamsikiliza mbwembwe zake bila kumkosoa. Basi hata nyinyi hamna akili. Ingawa ni wa somi na mna mali kazi bure

    ReplyDelete
  8. Mangi, mageuzi ni mageuzi. Nakushangaa.siielewi kauli yako na kama unamsimamo wako binafsi. Kama ni muoga mfanyabiashara muhimu halafu unawafuata mashangingi sikuelewi. Akina mama ntilie, wanyonge wataleta mabadiliko mpende msipende. Kikwete ndiye kiongozi wa mafisadi. Kiongozi wa nchi badala ya kuongea maneno kama mswahili, alipewa cheo cha juu kashindwa kufunga Lowassa badala yake anapiga porojo nanyi mnamsikiliza mbwembwe zake bila kumkosoa. Basi hata nyinyi hamna akili. Ingawa ni wa somi na mna mali kazi bure .

    ReplyDelete
  9. Magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  10. Pipoooooozzzzzzzzz power....tunaimani na lowassaaa

    ReplyDelete
  11. Hata ccm wanawatukana ukawa au hamjamsikia Benjamin mkapa katuita malofa na wapumbavu unataka tutukanwe Vp tena?mm unasema wanaotukanwa niwale wanaohama ukawa tuu

    ReplyDelete
  12. Magufuliiii oyeeeeee hapa kazi tuuuuu

    ReplyDelete
  13. HUIVI MENGI NDO NANI???????

    ReplyDelete
  14. SAWASAWA TUNAKUSHUKURU .SISI KWA KADIRI TUNAVYOFAHAMU REGINARD MENGI NI MWANACHAMA HAI WA CCM,NA HATUJAWAHI KUONA AU KUSHUHUDIA BW.MENGI ANAJIUNGA NA UKAWA.KUONGELEA JAMBO JINGINE KUMHUSU YEYE NA MISIMAMO YAKE KISIASA NI KUPOTEZA MUDA NA DIRA YETU PIA.UKAWA INASUBIRIA KWA HAMU MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 25 OCTOBA 2015.UKAWA KWA SASA INAKABILIWA NA POROJO,UZUSHI,UHUNI KEBE KEBE,UONGO,UNAFIKI,UTOTO,NJAMA-MAMLUKI,UZANDIKI VYOOOTE HIVI VIKITOKEA UPANDE WA CCM.JAMANI SIKILIZENI CHAMA TAWALA NI DIE-HARDS WA NYAKATI,HAWAJAJIPANGA KISAIKOLOJIA KUONDOKA MADARAKANI.LAKINI WAFANYAJE? NDIYO WANAONDOKA HIVYO,WANANCHI TUMEKWISHA AMUA.SISI TUNACHOSUBIRI NI TAREHE SALAMA YA KUPIGA KURA 25 OCTOBA 2015.PIGA UA,SEMENI LOLOTE,IMBENI,INGIENI UVUNGUNI,PAENI JUU,OGELEENI KWENYE MADIMBWI-TAKA,TUMEKWISHA AMUA.KWANZA NI HIVI;SASA HIVI HATUNA HAJA YA KUSIKILIZA KAMPENI YEYOOOOTE.KAMA NI SERA TUMEKWISHA ZIONA NA TUNAZO,KAMA NI SABABU TUNARUDIA TENA ZA KUIONDOA CCM TUNAZO NYINGI SANA SANA SANA SANA,MADEBE KWA MADEBE,MAPIPA KWA MAPIPA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  15. TUNA IMANI NA LOWASAAAA HOYA HOYA HAYAAAAA

    ReplyDelete
  16. Wasomi Waoga, Wakuu waliopendeleana, Mashangingi wanaonunuliwa kiurahisi, Ndio upinzani mkuu. Wanaogopa mabadiliko sababu ndio wahusika wakuu katika kuihujumu nchi hii kupitia CCM. Wamepeana vyeo, Wamepeana miradi, Wauza ndovu, Madawa, na waliokwenda kwenye mikataba yenye utata inayowaibia Watanzania na kudhorotesha uchumi wa nchi hii.
    Sasa wamefungamana kuikataa Ukawa cini ya Chadema wakijua zao zimefika na wataanikwa hadharani. Wanambana Lowassa sababu wanavyao vya kuficha. Watu wamesema. SASA mwisho. Mapinduzi ndio haya. CCM iko tayari kuhatarisha Amani ya nchi. Magufuli hana ubavu wa kuwanyosha vigogo waliokalia nchi kama nyumba yao. Kuiacha kiurahisi sio ajenda waliyonayo.

    ReplyDelete
  17. NA HII MPYA IMEIBULIWA JUMATANO TAREHE 16 SEPTEMBA 2015 NA MHESHIMIWA JAMES MBATIA NI TAKWIMU ZA SAFARI ZA NJE ZA MHESHIMIWA RAIS JAKAYA KIKWETE KWAMBA KWA KIPINDI CHA MIAKA YAKE KUMI YA UTAWALA [2005-2015] AMETUMIA SHILINGI TRILLION NNE[4] AMEKAA NJE YA NCHI JUMLA YA MIAKA MITANO[NUSU YA UTAWALA WAKE].TRILLION NNE NI NINI? NI SAWA NA BAJETI YA SERIKALI NZIMA YA MWAKA MMOJA.HUU NI UFUJAJI MALI MKUBWA MNO TENA KWA HILI INABIDI HATUA KUJA KUCHUKULIWA,ANASAFIRI MARA KADHAA NA MARAFIKI ZAKE,NA WENGI WENGI WALIOPO NJE YA SERIKALI,NA FAMILI YAKE,NA WASHIKAJI WAKE KWA GHARAMA KUBWA MNO ZA WALIPA KODI.HAPA HAKUNA MAENDELEO.NI ULAGHAI NA USANII NA WIZI,NA UHUJUMU UCHUMI,NA UKATILI KWA NCHI YETU NA WANANCHI WAKE.KWA HILI TUMESHIKWA NA BUTWAA HATUTOLIACHIA HIVI HIVI.

    ReplyDelete
  18. Wore mnaoshabikia CCM hamjitambui na inaonekana hamna majukumu ya koi familia, au Kama unayo kuna jinsi inanufaika na mfumo uliopo. ungekuwa na Mzazi kijijini, Hana bima ya matibabu, Hapati milo mitatu kwa Siku, kilimo hakimpi faida, hana shamba, au kanyang'anywa, una ndugu hawajasoma, hakuna Njia ya wao kuchomoka katika maisha, umezaa na unahamu ya wewe pia Kuwa na familia bora..isiyotengeneza Panya road...bila kuweka ubinafsi mbele.....lazima utake mabadiliko ili uwe na matumaini-

    ReplyDelete
  19. ukawa ndo hamjitambui ubishi ndo azi yenu hilo liko wazi endeleeni kubisha magufuli oyeeeeeeeeeeeeeee ccm mbelekwa mbele

    ReplyDelete

Top Post Ad