Birthday ya Diamond Platnumz Yafana...Hapa Nimekuwekea Picha zote...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

1
Diamond akikata keki na baadhi ya ndugu na marafiki zake waliojitokeza mahali hapo.
2
Wadau wakimmwagia maji na vinywaji mbalimbali kama ishara ya kumpongeza siku yake ya kuzaliwa.
3
Shilole akionyesha furaha yake na Tudi Thomas.
4
Queen Doreen (kushoto), akiwa kwenye pozi na Halima Kimwana.
5
Diamond akigonga msosi na meneja wake Babu Tale.
6
Mkubwa Said Fella akiwa kwenye pozi na baadhi ya marafiki wa Diamond.
7
Baadhi ya wadau wakijichukulia msosi.
8
Babu Tale akimsulubu Diamond kwa kummwagia soda.
9
Diamond akiwa katika pozi na marafiki zake.
10
Baadhi ya marafiki wa Diamond wakiwa kwenye pozi.
USIKU wa kuamkia leo staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, alifanikisha sherehe ya kuzaliwa kwake ambayo ilifana vilivyo nyumbani kwake Tegeta Madale jijini Dar es Salaam, ambapo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali.
Katika sherehe hiyo Diamond alipata fursa ya kukata keki na kunywa na baadhi ya ndugu jamaa na marafiki zake waliohudhuria mahali hapo, huku kivutio kikubwa kikibaki kuwa wingi wa vinywaji vilivyokuwepo.
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HIVI JAMANI TATIZO NI NINI? KILA KINACHOFANYIKA KWA DIAMOND LAZIMA IWEPO PINGAMIZI LAZIMA MANENO YA NEGATIVE YAWEPO KWA NINI NA NYIE MSIFANYE? MUNGU ATAWAADHIBU NYIE WOTE MSIOKUWA NA MAOMBI MAZURI KWA MWENZENU ACHENI WIVU

    ReplyDelete
  2. MACHANGU NAO WANAINGIA STATE HOUSE?

    ReplyDelete
  3. MUNGU ATAKUADHIBU WEWE USOJUA KUNYWA WALA KULA, KIKI ZA KIJINGA TUU, MPAKA WAUZA UNGA WAMEKUWA RAFIKI ZAKE.

    ReplyDelete
  4. jamani state house imeingiliwa hakuna heshima wala nn, nashangaa alomzalia hakuwepo.

    ReplyDelete
  5. hii nyumba imekuwa ukumbi wa mashughuli siku hizi,

    ReplyDelete
  6. state house ya Tandale hiyooooooooo, ishakuwa ukumbi wa madada poa. bi kizee vepeeeeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete

Top Post Ad