Breaking News: Kingunge Ngombale Mwiru Ajitoa CCM Rasmi ..Adai CCM Imekiuka Katiba na Inatumia Vijana Kutukuana Wazee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mzee  Kingunge Ngombale Mwiru Ametangaza leo Mbele ya Waandishi wa Habari kuwa Amejitoa Rasmi CCM na Kwa Sasa Hata Jiunga na Chama Chochote Lakini Ataunga Mkono Mbio za Wanaotaka Mabadiliko.....

Kinginge Ametaja Sababu nyingi za Kujitoa CCM ikiwemo ya kukiuka katika wakati wa Mchakato wa kutafuta Mgombea Urais wa CCM kule Dodoma na CCM kutumia vijana kuwatukana Wazee....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Karibu mzee wetu

    ReplyDelete
  2. kwani CCM itapungukiwa na nini ukujitoa mzee.ULIYEMTAKA HAKUPITISHWA NA CCM KWA KUWA HATUFAI,nenda tu ukawa huna mchango wowote kwa sasa katika chama.

    ReplyDelete
  3. SAWA NI HAKI YAKE KASEMA CCM IMEKIUKA KATIBA HIVYO KAJITOA KIKUBWA ZAIDI ALICHOTUMIA AKILI HUYU MZEE AMESEMA HATAJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE ILA ANAUGA MKONO MABADIKLIKO KWELI WAHENGA, WALINENA KILA CHENYE MWANZO HUWA NA MWISHO.CCCMMM INAELEKEA MWISHOOOOOOOOOOOOOOO.MABADILIKO YA CHAMA NA SERIKARI NDIO PONEPONE YETU SASA VINGINEVYO TUTAJUTAAAAA SANA.

    ReplyDelete
  4. mzee choka mbaya,

    ReplyDelete
  5. huyu mzee atulie sasa kashachoka.

    ReplyDelete
  6. CCM kwisha kwisha kabisa mmoja mmoja na wengine wapo njiani mwaka huu wamejipanga kufa kifo cha Mende.

    ReplyDelete
  7. Heshima yako mzee

    ReplyDelete
  8. Mtajiondoa mmoja baada ya mwingine,,, Hapa kazi tu,,,, nenda salama kingunge,,,, Nenda wazalendo watakupa kugombea uraisi

    ReplyDelete
  9. SASA TUHESABU SIKU ZA KIFO CHA CCM KWAMBA NI WIKI TATU TUU ZIJAZO ,LAANA WATAKAYOIPATA BAADA YA MUASISI WA CCM MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWILU KUJIONDOA RASMI CCM ITAKUA NI KUBWA SANA SANA NA,CCM BAADA YA KUSHINDWA VIBAYA KWENYE UCHAGUZI HUU UJAO WA OCTOBA 25, 2015 PATAKUWA HAPAKALIKI PALE CCM.WENYEWE KWA WENYEWE WATAANZISHA: ngumi,matusi,mieleka,fimbo,mawe,fito,kuni,bakora,nondo,RB,mapinduzi,maasi,VIKAO BILA RUHUSA YA MWENYEKITI,na vituko chungu nzima vikiashiria wakati huo MWISHO WA CCM UMEWADIA .

    ReplyDelete
  10. Huyu mzee na yeye alinunuliwa na lowassa

    ReplyDelete
  11. MZEE ANA SEMA JAMBO KUBWA SANA, MZEE MWINYI ALIMKABIDHI MKAPA NCHI UCHUMI WETU ULIKUWA KWA ASILIMIA 3 NA USHEEEE HIVI,MKAPA ALIICHA NCHI KWA MH KIKWETE UCHUMI UKIWA UMEKUWA KWA ASILIMIA 7, LEO ANAONDOKA MADAKANI UCHUMI UKIWA UMEKUWA KWA ASILIMIA 7.8 KWA MIAKA 10,NDIO MAANA NILIKUWA NAJIULIZA KWANINI WANANCHI WANAHASIRA SANA,HAPA HAIITAJI HATA KWENDA SHULE NAWASHAANGA WANAOBEZA MABADILIKO YA MFUMO,DAWA TUANZE UPYAAAAA

    ReplyDelete
  12. HONGERA SANA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWILU,HONGERA.ULIKUWA NI UAMUZI MGUMU KUTOKANA NA HISTORIA YAKO KATIKA, KWANZA SERIKALI ZOTE ZA`AWAMU NNE YAANI TOKA NCHI IPATE UHURU 1961 HADI HII LEO NA PIA PILI NDANI YA DULU ZA UONGOZI WA TANU HADI CCM HII YA LEO.ILIBIDI,NADHANI,UCHELEWE SANA KUJIONDOA CCM ILI KUSUBIRI JEE MWENYEKITI WAKE JAKAYA MRISHO KIKWETE ATAKUOMBA RADHI KWA UCHAFU MWINGI ULIYOFANYIWA NA CCM AMBAYO ANAIONGOZA KIUBABE,KIUHUNI-UHUNI,KIMAFIA,LAKINI HATIMAYE UMEGUNDUA [BEYOND ANY REASONABLE DOUBT] KWAMBA KUDHALILISHWA KWAKO KOOTE HUKU NA CCM YALIKUA NI MAAGIZO YA MOJA KWA MOJA YA MHE.JAKAYA KIKWETE NA YOOTE HAYO ALIYAFANYA KUPIYIA KING'AMUZI CHAKE,MWANAHARAMU NAPE NAUYE KIKWETE NI MTAMBO WA ULAGHAI,HILA NA CHUKI.SITANII WALA SIDANGANYI KUMWITA NAPE MWANAHARAMU KWA SABABU HANA BABA WA UHAKIKA.MAMA YAKE ALIKUA KIGODORO WA VIONGOZI WA TANU NA NDIO MAANA WENGINE WANAOMFAHAMU VIZURI WANASEMA NI MTOTO WA PROFESA MARK MWANDOSYA,WENGINE NI MTOTO WA ZEE LA VINENA JOHN MALECELA.HAWA WOTE NI BABA ZAKE, ALIYESHINDA GOLI NI YUPI ANAJUA MAMA YAKE NAPE.KARIBU URAIANI MZEE KINGUNGE NA KWA MUDA HUU WA LALA SALAMA ULIOBAKI MUANIKE KWA UKAMILIFU WOTE JAKAYA,WAANIKE MSEKWA, MALECELA,MANGULA,MKAPA, KINANA MUANIKE KINYWAJI .USHINDI WA LOWASSA ULIKUA ASILIMIA 78 SASA BAADA YA HII NGUVU MPYA YA MZEE KINGUNGE UKAWA-CHADEMA WAMEPUSH UPWARDS HADI ASILIMIA 82.

    ReplyDelete
  13. saafiiiiiiiiiiiii, ushindi wa mh.lowassa toka asilimia 78 hadi asilimia82 safiiiiiii.ccm,kimenuka.

    ReplyDelete
  14. KINGUNGE WA KAZI GANI NDANI YA CCM?HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  15. Hee! Kwani huyo mzee alikuwa bado yupo CCM?
    Hata hivyo hilo halijatushangaza sana, tulitegemea ni lazima amfuate shost'ake mara baada ya kuvuliwa ukamanda wa vijana CCM.........'NENDA MWALIMU'

    ReplyDelete
  16. Wizara isiyojulikana kazi YAKE......Mshauri wa siasa wa Mh MKUU........Ubungo Bus Terminal TENDA.........Kamanda wa VIJANA!!! hivi mlitegemea Mzee huyu at 85 atakuwaje jamani kama siyo........?

    ReplyDelete

Top Post Ad