Edward Lowassa Kutikisa Dar es Salaam Leo Oktoba 01, 2015

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA LEO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA

1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga

2. Saa 6 - 7:30 mchana; Segerea, Liwiti

3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri TP Sinza/ Uzuri

4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MIMI NAAMINI UKAWA KWISHA HABARI YAKE,ANAEFUATA KWA KASI SANA BAADA YA CCM NI ACT.Kakangu Zitto jipange tu.

    ReplyDelete
  2. KARIBU M4C orginal

    ReplyDelete
  3. ASANTE KWA TAARIFA TUTAKARIBIA NA FAMILIA ZETU MAANA MIKUTANO YA CCM HUWEZI KWENDA NA WATOTO NI KM KWENDA SENEMA KUTAMA PICHA YA X (NGONO)

    ReplyDelete
  4. LUWASA TU PAMOJA NA WEWE WASIKUKATISHE TAMAA NA MATUSI YAO HOA WALAAANIWA WARUDI KUZIMU CCM MWANGA SERA BABA, CCM HAWANA WANAMWAGA MATUSI NA KASHIFA TUME IMEWAONYA BY NAPE

    ReplyDelete
  5. Makubwa na madogo yananafuu Mwembeyanga hapo ilipotolewa list of shame

    ReplyDelete
  6. CCM NDIO KUBWA LAO.
    UKIMEZA,UKITEMA SHAURI YAKO.HABARI NDIO HIYO.

    ReplyDelete
  7. Mbona kila wakati Dar tu? au mapumzikoni?? au ratiba imebadilika??? au Dar wapigakura ni wengi zaidi kuliko sehemu nyingine???? au ndio 'toroka uje'?????

    ReplyDelete
  8. hamna cha toroka uje wala toroka uende..hivi ulikuwa usingizini mgombea wa Ukawa alipopita mikoa takribani yote ya Tanzania?!propaganda haziwezi kuisha kwa waTanzania wasio elewa nafasi yao katika nchi yao wenyewe!full kufuata mikumbo isiyo na tija.Viva Lowassa Viva!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad