Edward Lowassa ni Hatari..Jiji la Arusha Lasimama...Kungunge Azidi Kuzamisha Jahazi la CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KADA Mkongwe wa Chama cha Mapinduzi CCM,Kingunge Ngombale –Mwiru ambaye amekiaga chama hicho ,ameendelea kukitolewa lawama cha hicho kusema CCM pumzi yake imefikia mwisho na haikitaki kupewa tena dhamana ya kuongoza nchi

     Akizungumza  wakati wa Kampeni za kumnadi Mgombea Urais kupia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vya Ukawa,Edward lowassa zilizofanyika leo Arusha Mjini na kushuhudiwa na umati mkubwa wa watu ambao uliosababisha shughuli nyingi kusimama.
     
Ambapo Kingunge  amedai chama chake hicho kilichomlea kimechoka na hakina nia ya kweli ya kumkomboa mtanzania kwa lindi kubwa la umasikini.
      Amesema CCM anayoijua yeye tangu ilipokuwa TANU ilikuwa yenye misingi na kuweka mipango ya kumletea maendeleo moja kwa moja lakini amedai CCM hile sio hii ya sasa kwani hii ya sahivi imetekwa na watu wachache wenye kujali maslahi binafsi na sio kumleta maendeleo mtanzania.
       Kingunge huku akishangiliwa kwa nguvu,ammshukia pia Rais Jakaya Kikwete kwa kusema utawala wake umeua uchumi wanchi,
“Leo uchumi wa nchi umeporomoka,wakati Mkapa anamwachia nchi Kikwete uchumi ulikuwa kwenye hali nzuli,lakini baada ya kuingia yeye uchumi wan chi umedorola huku umasikini unazidi kuwa mkubwa kwa watanzania’

  SUMAYE ANENA.
Kwa upande wake Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya tatu,Fredrick Sumaye amewataka watanzania kutomchagua Mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli kwa kuwa mgombea huyo anamaamuzi ya kukurupuka na ambaye asiyekubali kushaulika jambo ambalo  amewasihii Watanzania kuwa watakuja juta.
Sumaye amesema hata  wizara alizopewa  Magufuli kuongoza ameonyesha utendaji wa kibabe usiofuata utu na uzalendo kwa watanzania.

  LOWASSA ANADI SERA.
Kwa upande wake Mgombea wa Urais kupiatia mwavuli wa Ukawa Edward Lowassa amesema endapo akifanikiwa kuingia madarakani atahakikisha anapambana katika kuondoa umasikini kwa watanzania.
“Ninagombania nafasi ya Urais kutokana na kuchoka kusikia habari ya Umasikini,nimedhamilia kupambana na umasikini,nimechoka kusikia watu wanakula mlo mmoja,nataka nikiingia tuwe tunajadili milo mitatu,ambaye ana ngombe mmoja awe na Ngombe wa wili”amesema lowassa.
Lowassa pia ameendelea kushikilia ilani yake ya elimu bure kutoka shule ya msingi mpaka chuo kikuu huku akiwapinga wanaibeza ahadi yake hiyo kwa kusema nchi hii inapesa nyingi zinazopotea kwenye Mgari ya kifahali.

  KUHUSU TANESCO.
Lowassa amesema endapo akifanikiwa kuingia madarakani atahakikisha analifufua shirika la Umeme nchini TANESCO ndio litakuwa jambo lake la kwanza na kulifanya shirika hilo liondokane na mgao wa umeme.

  LEMA AFUNGUKA.
Kwa upande wake aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjinia kupitia Chadema Goodbress Lema ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC kupeleka haraka karatasi za kupigia kura kwenye mkoa wa arusha ili wananchi wawajue wagombea wao.
Amesema kwa sasa wananchi wa jimbo hilo la Arusha wamezamilia kwa kauli moja kumchagua Lowassa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. EDWARD NGOYAI LOWASSA,NYWELE NYEUPE,MOYO MWEUPE NA SAFARI YA IKULU NYEUPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  2. Na badooooooooooo

    ReplyDelete
  3. That is very true, kikwete ameiharibu nchi completely, kipindi cha mkapa uchumi ulikuwa ahueni but now, it's a shame.

    ReplyDelete
  4. Kwa ndotoooo ataingia lakini kwa kura ya Mtanzania badoooo sanaaaa asubirie baada ya miaka 10 ndio aje agombee tena.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hiyo ndoto unaiota wewe!!! ataingia tu kwa kura za MTANZANIA kama hazitaibiwa!!! MABADILIKOOOOOOOO!!!!! LOWASAAAAAAAAAAAAAAAAAA, LOWASAAAAAAAAAA, MABADILIKOOOOOOOOOOOO!!! na amuibi kura mwaka huu!!

      Delete
    2. Baada ya miaka kumi anachaguliwa Zitto Kabwe kama ataomba kuiongoza nchi,na hapo kama Magufuli atatuangusha,vinginevyo ni CCM mbele kwa mbele.

      Delete
    3. wewe unaesema zitto kabwe hujui usemalo. kakojoe ulale. mfyuuuuuuuuuuuuuuuu wewe unataja wenzio we unajua kuongoza nini? kuku? mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

      Delete
    4. Lowassa rais mpya
      Hakuna Bao la mkono
      Mwaka huu
      Patachimbika
      Tupo tayari kufa Kama hakuna haki

      Delete
    5. Mpaka juzi takwimu zinaonyesha Lowasa ametembelea mikoa 26 na kufanya mikutano 105,Magufuli mikoa 20 mikutano aliyofanya ni 180.Jiulize nani amewafikia wananchi wengi zaidi?Mnategemea kura za mjini alafu mulalamike mmeibiwa.Magufuli ndiye rais wa nchi hii.CCM MBELE KWA MBELEEE

      Delete
  5. CCM WAKATI WENU UMEFIIIIIIIIIIIIIIIIIKA MWISHO HIVI? MBONA UNAKUWA WABISHI UMESHIMBIA NINI IKULU?????????,MIAKA 54 IMEWATOSHA ACHANE UROHO WA MADARAKA WAPENI NAFASI NA WENGINE HII YETU SOTE,MSITULETEE UFALME HAPA.SASA KM UCHUMI UNAPOLOMO KILA KUKICHA,BADO MPO TU MNATAKA UTUPELEKA WAPI EBO

    ReplyDelete
  6. WATAKAO IPIGIA KURA CCM MWAKA HUU WOTE WAPELEKWA MIREMBE HOST PALE DODOMA WAKAPATE TIBA BUREEEE,HESABU HIZI HT MTOTO WA CHEKECHEA ANAZIWEZA ,MZEE MWINYI AMEACHA UCHUMU UNAKUWA KWA ASILIMIA 3 NA USHEEE,MZEE MKAPA AMEACHA UCHUMU UNAKUWA KWA ASILIMIA 7,MZEE KIKWETE RAISI WETU KIPENZI CHA WATU MTU WA WATU ANAONDOKE UCHUMI UKIWA CHINI YA ASILIMIA 7 YAAANI 6.9 HIVI WATANZANIA TUMEROGWA?JE KUNA SABABU YA KUENDELEA NA CCM:?TUMIENI AKILI KDG BASI TUUUUUUU NDIO MAANA HATA MAGUFURI HAITA KABISA CCM

    ReplyDelete
  7. POLE SISI WATANZANIA NDIO TUTAKAO MPIGIA KWA WINGI LABDA WEWE TU NA FAMILIA YK,POLE SN

    ReplyDelete
  8. SINA IMANI KABISAAAAAAAAAAA NA CCM YA MAGUFULI

    ReplyDelete
  9. Kumpa Kura yangu mtu ambae anashanga uvunjifu wa haki na matatizo yanayowakabili watanzania badala ya kupambana nayo siwezi kabxaaaaa...Ni bora hata cku hiyo nikamtafute malaya nimlale anipe HIV kulko kumpa kura mtu km huyo.

    ReplyDelete
  10. Tunaimani na Lowasa....
    Oyah oyah, Oyah!
    Tunaimani na Lowasa.
    Oyah oyah, Oyah!

    ReplyDelete
  11. Tunaimani na Lowasa....
    Oyah oyah, Oyah!
    Tunaimani na Lowasa.
    Oyah oyah, Oyah!

    ReplyDelete

Top Post Ad