ESMA PLATNUMZ: Namshangaa Sana Diamond Kuwa na Chuki Kiasi Hicho Kwa Baba Yake Mzazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Brighton Masalu
DADA wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma amemshangaa kaka yake, (Diamond) kwa kuendeleza chuki dhidi ya baba yake mzazi, mzee Abdul Jumaa.Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu hivi karibuni, Esma alisema siku zote si vyema kukaa na kinyongo au chuki dhidi ya wazazi na hata kama ikitokea ni vyema kuyamaliza kwa mtoto kujishusha.

Hata mimi nilishawahi kukosana na baba yangu, lakini nilishasamehe na kusahau kabisa, hata hapa nyumbani, ni mara nyingi tu huwa tunatofautiana na mama lakini hata kama yeye kakosea, huwa najishusha si kama ilivyo kwa Nasibu (Diamond) kuwa na chuki kali kiasi hicho dhidi ya baba yake,” alisema Esma.

Source:GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani hujui kama kaka yako analaana?

    ReplyDelete
  2. pesa za madafu zinamsumbua Dai, tusubiri radhi ya baba yake itakavyo muonyesha.

    ReplyDelete
  3. Domo anajiona hakuna kama yeye duniani, kaweka pesa mbele kuliko mzazi wake, tutayaona kama si kusikia.

    ReplyDelete
  4. ndo maana kashfa zinamuandama, mara madeni ya 40, mara mtoto si wake hajiulizi kwa nn.

    ReplyDelete
  5. mtoto yoyote alielelewa na mama na bibi yuko hivyo wengi tu wapo hivyo. sio kosa lake sio wote wanamioyo ya kusamehe haraka haraka

    ReplyDelete
  6. Esma unaongea kwakuwa hajakukuta, sawa inawezekana wewe baba yako alikuwa anakukumbuka hata kidogo kidogo, Esma inauma sana hasa pale inapotokea baba yako unaona kabisa anauweza hata kama mdogo lakini anakukumbuka kwa hicho hicho kidogo, wababa wengine ugomvi wake yeye na mkewe wanapotengana anauhamishia kwa watoto anasahau kama ile ni damu yake kwa hivyo mtoto anajenga chuki na hasira kwa mzazi hasa anapoona mama pekee ndiye anaehangaika huku baba akiwa hana habari, Esma usiombe jamani inauma haya mambo muyasikiage tu hata kama utasamehe lakini yale mapenzi ya dhati kama huyu ni baba yangu hayatakuwepo.

    ReplyDelete
  7. Acheni kumsimanga sana Diamond kwani yaliyonyuma ya pazia kati ya Abdul na familia yake amyajuhi!No research no wright to speek!

    ReplyDelete
  8. kwani kamfanya nn mpaka asimsamehe? kama si uhayawani, pesa zinamsumbua

    ReplyDelete
  9. i am diamonds fan.. but now this leaves alot to be desired from him...

    ReplyDelete
  10. SASA KAMA AMLIMTELEKEZA LEO HII KWA KUWA ANA PESA NDIO KAWA MTOTO,SISI WANAUME TUNAJIFANYA WA JUAJI SANA MWACHENI KIJANA ALE NA MAMA YAKE WAMETOKA MBALI ILI IWE FUDISHO KWA WAZAZI WENGINE.

    ReplyDelete
  11. Hayo yalianza kwa Michael Jackson mbona ni kawaida tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad