Hali Halisi Jimboni Bunda Mchuano Kati ya Wasira na Bullaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nipo jimboni Bunda wiki ya 2 sasa mambo yangu ya kimajukumu, nimebahatika kutembelea maeneo tofauti tofauti katika jimbo hili. Hali ya kisiasa iliopo kwa sasa Mh.Wassira anaetetea kiti chake anapata wakati mgumu kutokana na kundi kubwa la vijana kumkubali mh. Ester Bullaya na kiuhalisia jimbo hili lina vijana wengi kuliko wazee na kina mama.

Kibaya zaidi kumekuwa na vikesi vya kumpeleka polisi huyu mwanadada Ester Bullaya na baadae kutolewa maamuzi na kuonekana ameshinda mfano kesi ya gari yake. Hivi vitu vimekuwa vikimuongezea umaarufu na kukubalika zaidi na kuonekana bora zaidi kuliko mh. Steven Wasira.

Chama cha mapinduzi (CCM) na Wassara mwenyewe wana siku 20 na ushee kubadilisha upepo uliopo sasa la sivyo heshima uliojijengea kwenye utumishi wako nchi hii zaidi ya miaka 20 itaporomoka kwa kushindwa vibaya na mwanadada huyu, kwa kifupi anaenda kukustafisha kwa lazima, kwa lugha ya vijana wanasema unastaafishwa kwa kichapo au kwenye ndondi wanasema umepigwa kwako.

Kila la kheri mzee wetu

By Brave One/JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WASSIRA NI MPUUZI,MSHENZI NA MJINGA KWELI KWELI.ANACHOKIFANYA SASA NI KUPUNGUZA MAKALI YA BULAYA KWA KUWATUMBUKIZA POLISI ILI KWA MATUMIZI YA CROWN ZAO WAMNYANYASE ESTHER BULAYA NA TIMU YAKE NZIMA YA KAMPENI.GARI YA BULAYA IMESHAKAMATWA ZAIDI YA MARA KUMI,KUHOJIWA POLISI MARA SITA,WASAIDIZI KUKAMATWA MARA CHUNGU NZIMA.HII INAONYESHA WAZI KUWA CCM KWA SASA NI PANGO LA WAHUNI,WEZI NA MACHOKORAA.KWA VISA HIVI VYA WASSIRA CCM BUNDA IJIANDAE KUBWIA MCHANGA WA JALALANI OCTOBA 25,2015

    ReplyDelete
  2. DA!! POLICE TENDENI HAKI JAMANI!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad