Hatimaye Flora Mbasha Ampigia Magoti Mumewe, Amuomba Amsamehe, Ajutia Makosa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ule usemi wa Mwanaume ni Mwanaume tu, Umetimia leo baada ya Makeke yote na Mbwembwe zote za Flora Mbasha Kumuishia na Kujikuta amekua mdogo kama piriton mbele ya Mumewe.

Nikakumbuka ule usemi wa Baba na Mama wakigombana Nyumbani, Waache wenyewe Mwisho wataelewana.

Wakati alipokua anahojiwa na Millad Ayo, Flora Mbasha kasema; "Yule ni mume wangu na bado nampenda na ntaendelea kumpenda. Tuna watoto wawili na ningependa tuongeze watoto mapacha lakini tusubili uchaguzi Uishe. Nlikua nampenda mume wangu sana ndo maana pete naivaa shingoni hii ndoa yangu na Mume wangu naipenda sana. Naomba anisamehe kwani nmeshamsamehe pia

Nipo na amani tele na namshukuru Mungu.

Namuahidi ntaendelea kumpenda siku zote. Ninachomuomba naye anisamehe" amesema Flora.

Mbasha mwenyewe kasema Kibiblia hakuna kuachana. Alikua natuma watu wamuombee Msamaha ili Flora arudi nyumbani walee watoto.

"Asisikilize watu na watu wanaompamba, Naomba arudi nyumbani" alinukuliwa Mbasha.


Lakini Baada ya mke wake kufuta kesi mahakamani na kufuta kesi ya kudai talaka, na Kumpigia Magoti Mumewe, Mume amegoma tena, amesema hamuhitaji tena. Kabadilisha maamuzi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lazima mbasha auimie Flora kamuabisha sana na Gwajima.

    ReplyDelete
  2. Gwajima alimdhalilisha sana Mbasha kwa kumuweka kinyumba flora inamuuma na Mbasha simlaumu.

    ReplyDelete
  3. ANATAKA AKUCHOTE TENA AKILI HUYO NI MUUAJI KAKA BORA UKAE PEKE YAKO MAISHA KULIKO ALIVYOKUFANYIA FLORA, SHE CAN KILL U

    ReplyDelete
  4. Khaaa sasa kama hamtaki tena flora adai talaka yake uyo mbasha atakua keshampata Wa kumtulizia nyege

    ReplyDelete
  5. Hata Mimi ni Kaka yangu nisingekuli kubali amsamehe kwa sababu anaona aibu baada ya kushinda kesi angefungwa je angemuomba msamaha saa ngapi ana cha mapenzi wala nini muongo uyo kipindi kile mbasha analia na kuomba msamaha ndio alikua amsamehe pale sio sasa hivi

    ReplyDelete
  6. NAULIZA HIVI JE ANGEFUNGWA MIAKA 30 KWA UBAKAJI ALIOMBABIKIA?????????

    ReplyDelete
  7. USIPOMSAMEHE MKEO UTAKUWA NA MBINGU YAKO, MWOMBE MUNGU AREJESHE LILE PENDO LA MWANZO

    ReplyDelete
  8. Huyo siyo mwanaume, je alivyo mdhalilisha Flora kutembea inje ya ndoa mara nyingi pamoja na kutembeza kipigo kwa mkewe na mashemeji anajiona kamili?

    Acheni kushabikia upumbavu, jitu limesamehewa mangapi bado malaya na anategemea kipato cha Flora anajidai mjanja.

    Heri apotee zake tu ulimwengu uumpe fundisho kali zaidi. Flora hakosi wakumtuliza akili khaaa.

    ReplyDelete
  9. Kwanza hebu wakapime DNA walimwengu tupate kujua, huyo mtoto mchanga ni wanani.......mengine yatafuata

    ReplyDelete
  10. Flora hautasamehewa kamwe na hufai kusamehewa kumsingizia mtu kubaka huna hata aibu mtu mzima, Emmanuel atapata mwanamke mwingine kwani anavutia sana kuliko wewe frola kwani kila mwanaume atakuogopa usije ukasingizia mtu hayo uliyoyafanya.

    ReplyDelete
  11. KUMSINGIZIA MTU KABAKA ILI AFUNGWE MAISHA. HALAFU USEME UNAMPENDA?? MWENZENU HAINIINGII AKILINI

    ReplyDelete
  12. Ya pwagu waachie pwagu wenyewe

    ReplyDelete
  13. Jamani kusamehee ni vizuri lakini inabidi Mbasha aaangalie na kosa ina maana Flora alitaka kumchimbia kabisa kesi ya Kubaka siyo chini ya miaka 30 ina maana maisha ya Mbasha yote yangeishia jera. Flora mbona hakuomba msamaha kabla ya kesi kuisha. Inahitaji maombi ili Mbasha aweze kumuamini Flora kama kweli anarudi kwa wema au kummaliza kabisa. Kwani dunia siku hizi siyo rafiki, na kwa vile walifunga ndoa ya kanisani Flora kuolewa tena ni issue ndo sababu alikuwa anatafuta talaka.

    ReplyDelete

Top Post Ad