google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Lowassa Ameshindikana...Siku Moja Baada ya Kusababisha Gharika Arusha Mjini...Leo Amehamia Siha Mkoani Moshi na Kusababisha Haya | UDAKU SPECIAL

Lowassa Ameshindikana...Siku Moja Baada ya Kusababisha Gharika Arusha Mjini...Leo Amehamia Siha Mkoani Moshi na Kusababisha Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


SIKU moja kupita baada ya mgombea wa Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA Edward lowassa baada ya kuitikisa Arusha Mjini,sasa mafuriko yake yamehamia wilaya Siha mkoani Moshi na kupokewa na umati mkubwa wa watu huku shughuli ziki simama,
Lowassa amewataka watanzania kufanya maamuzi sahihi kwa kumchagua ili afanikiwe kuwa Rais ili awezi kupambana na tatizo kubwa la umasikini kwa Watanzania.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na bado
    Hakuna super star hapo Watu kufuata shoo
    Hakuna kanga wala kitenge hapo
    Chezea Lowassa na ukawa

    ReplyDelete
  2. AnonymousAugust 28, 2015 at 11:41 AM
    Kuna watu respectable wenye CV zao za maana duniani…lakini walivyojihusisha na CCM wamechafua CV zao;
    Mfano;
    Getruda Mongela mwanamama aiyeongoza mkutano wa Beijing unajua kashfa za rushwa zilizokuja kumkumba
    Sospeter Muhongo-A respectable Journalist unajua Amefanya nini kwenye ESCROW
    Omar Nundu mtaalamu wa dunia wa usafiri wa anga unajua ni nini kimemtokea
    Prof Anna Tibaijuka mama aliyeongoza shirika la Umoja wa mataifa unajua nini kimemtokea
    Daudi Balali a respectable IMF and World Bank Economist unajua nini kimemtokea baada ya kujihusisha na CCM.
    Ukiachana na hao…Jakaya Kikwete wakati anaingia madarakani alikuwa mtu mchapa kazi…Katika wizara alizopita kabla ya hapo alikuwa mwadilifu na Mchapa kazi…alichaguliwa kwa 80% kumbuka….Nini kimetokea baada ya kuwa Ikulu?
    Benjamin Mkapa..Jembe la Nyerere aliingia kama mzee wa kazi ameondoka na kujimilikisha mgodi wa Kiwira.
    Magufuli anayegombea urais wa CCM Alishiriki kikamilifu katika kuuza nyumba za serikali….Ameshiriki kuiingiza hasara serikali majuzi kwenye kivuko ca kigamboni shs Bilioni 8…Kivuko hakina muda wa miezi mitano lakini hakifanyi kazi ….ameiingiza hasara serikali kwa maamuzi mabovu mengi aliyofanya.
    Ndio maana kwa tunaotazama mambo kwa umbali ni bora CCM ikakaa pembeni tuanze upya (Sio kwamba wapinzani ni wazuri sana)…Kutakuwa na maumivu ya miaka 5 lakini baada ya hapo tuta endelea kama taifa.
    Kama taifa inabidi tuweze kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa vizazi vyetu vijavyo.
    Mfano kulikua na haja gani ya kumilikisha kampuni za wazungu gesi yetu kwa miaka 99…tena kwa mikataba ya siri…….
    Utakuwa kichaa kudahani magufuli ataipitia hio mikataba na kuifumua…You must be mad

    ReplyDelete
  3. LOWASSA AMESHIDIKANAasante,LOWASSA HAKAMATIKI asante LOWASSA BABALAO asanteLOWASSA-TANZANIA-ONE asanteLOWASSA MOTO WA KUOTEA MBALI asante LOWASSA AFUNIKA MBAYA asante.YAANI KILA MLIO WA ZUMARI HILI.MWISHO WA SIKU;TAREHE 27 OCTOBA 2015:LOWASSA ASHINDA UCHAGUZI WA URAIS TANZANIA-AMSHINDA MAGUFULI WA CCM KWA MAMILLION YA KURA;LOWASSA SHUJAA AWAGARAGAZA WENZIE VIBAYA;LOWASSA WINS PRESIDENTIAL RACE WITH ROLLING SUPPORT.HIVI NDIVYO- HIVI.JINA LANGU,NA-KIU.

    ReplyDelete
  4. HAPA HAKUNA WALA HAKUITAJI WASANII SIJUI BONGO CCM,TV CCM WALA BENDI DUUUU UKAWA NA LOWASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA SHIKAMOONIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII WAKUBWA NA HONGERENI ASANTENI SANA ASANTNI SANA

    ReplyDelete
  5. No mondi,no kiba,no yamoto band,no taka taka yoyote,jeshi la mtu mmoja mamvi himself na nyomi la kutosha.wamenunua padri slaa aue wapi,wamejaribu lipumba wapi,mamvi bado yumo.

    ReplyDelete
  6. eeehhh MUNGU ibariki TANZANIA, tupe Lowasaa awe Rais wetu atukomboe, tupendelee kama ulivyotupendelea mara ya kwanza kutupa Nyerere kama Raisi wetu wa kwanza, akatupa Amani ya kudumu, AAAmeen.

    ReplyDelete
  7. Nakupenda lowassa

    ReplyDelete
  8. Kwani hawa wote vitambulisho vya kura wanavyo ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Muulize senge Lubuva

      Delete
    2. Sempendi huyu babu hadi Akhera

      Delete
  9. HAKUNA BENDI WALA SHOW KUALIKA WATU WANAKUJA WENYEWE!!! BANA EEE MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU. SISIEM MWACHENI LOWASA ATAWALEEEEEEEEEEEE PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad