Mambo Matano Ya Ajabu Yaliyojitokeza Mwanza Jana Lowassa Akiwa Kwenye Kampeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mamba Matano Ya Ajabu Yaliyojitokeza Mwanza Jana Lowassa Akiwa Kwenye Kampeni
Watu Kadhaa Wazimia kutokana na Msongamamo wa watu





















































-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lililopangwa haliwezi kuzimishwa. Bali limecheleweshwa tu. Huu mpasuko ni wa siku nyingi. Dingi na kundi walifikiri ndio mwisho. Kumbe wametonosha kidonda.

    ReplyDelete
  2. Heee! Me sina swali! Nakubaliana na Duni CHALIII!

    ReplyDelete
  3. labda waibe kura!!! ccm mwaka huu kwishneiii!!

    ReplyDelete
  4. yako wapi sasa mambo matano?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Muulize mkeo au bwana yako Kama hujui kusoma

      Delete
  5. Mbona sio mambo ya ajabu. Nimefungua nikidhani kuna cha ajabu kumbe hakuna!

    ReplyDelete
  6. Huyu mzee atakuwa anajisikia faraja sana maana si kwa kukubalika huku! Inawezekana huyu mtu kiundani ana roho nzuri sana

    ReplyDelete
  7. Makongoro Upo wapi
    Umeeona wagonjwa hao
    Kama manabiii
    Bado zamu yako
    24 October

    ReplyDelete
  8. PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEES POWER, HIVI MNATAKA NINI TENA JAMANI, MAJIBU SI MNAYO TAYARIIIIIIIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  9. Fisiemu bado hamuoni hayo maaajabu?nyie endeleeni kujitekenya mkimaliza tuonane tarehe 25,wazee wa malori na ubongo flava.

    ReplyDelete
  10. Ukawa ikishinda hakuna muungano wala mapinduzi babu kingunge mchochezi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie ndio wachochezi. Nyie ndio mlioliweka Taifa hapa tulipo,
      Nyie ndio mnaolazimisha mambo na kujinufaiha. Watu wengi
      hukuwapa hata kwa nguvu watu watachukua. MMemsahau
      Makongoro, alipowaimbia CCM enzi zake. Ni hii aliiitabili.
      limetimia.

      Delete

Top Post Ad