google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mgombea Ubunge CCM Aanguka Jukwaani Akiruka Kichurachura........Alitaka Kunogesha Mtindo wa CCM wa Push Up za Magufuli | UDAKU SPECIAL

Mgombea Ubunge CCM Aanguka Jukwaani Akiruka Kichurachura........Alitaka Kunogesha Mtindo wa CCM wa Push Up za Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mgombea ubunge wa tiketi  ya  Chama  Cha  Mapinduzi (CCM) katika  jimbo  la  Tunduru  Kaskazini,Mhandisi Ramo Makani alianguka jukwaani  wakati  akijaribu  kuruka  kichura chura.

Tukio  hilo  lilitokea  katika  mkutano  wa  ufunguzi  wa  kampeni  za  mgombea  huyo, uliofanyika  kwenye  viwanja  vya  baraza  la  Idd  mjini  hapa.

Inasadikiwa  kuwa  alikusudia  kunogesha  staili  ya  mgombea  urais  wa  tiketi  ya  CCM,Dr. John Magufuli  ya  kupiga  Push Up..

Ingawa  tukio  hilo  lilionekana  kumfedhehesha,mgombea  huyo  alijikakamua  kuinuka  huku  akisaidiwa  na  walinzi  wake  na  kuendelea  kunadai  sera  zake.

Alisema  kuwa  katika  kipindi  kilichopita  alitekeleza  ilani  ya  chama  chake  kwa  kusimamia ujuenzi  wa  barabara  ya  Namtumbo-Tunduru  hadi  wilayani Nanyumbu  inayoendelea  kujengwa  kwa  kiwango  cha  lami.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwahiyo umeona ni kitu cha ajabu mtu kuanguka jukwaani peleka ukawa yako huko hapa ni magufuli tuu

    ReplyDelete
  2. MWISHOWE WATAPASUKA MSAMBA KWA KUTAKA KWENDA IKULU

    ReplyDelete

Top Post Ad