Mkutano wa Lowassa Monduli; Mwenyekiti wa CCM (W) avua gamba na wanachama 12647 warudisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Monduli na zaidi ya wanachama elfu 12647 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na CHADEMA.... Hii imejiri leo katika mkutano wa mgombea wa Chadema anayeungwa mkono na Ukawa Ndg. Edward Lowassa...

Sasa ni wazi CCM imezikwa rasmi Monduli... Na bado kuna msururu wa maelfu ya wanachama wa CCM wanarudusha kadi zao mpaka sasa.... Inakadiriwa karibu wananchama wa CCM zaidi ya elfu 20,000 wanaweza kurudisha kadi zao leo usiku....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. peeeeeeeeeepleeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzz! hongereni MONDULI!

    ReplyDelete

  2. Mhhh na sisi wasukuma tunarudisha kadi za chadema tuone nani mwamba

    ReplyDelete
  3. Watu tuko kwenye maombi kukiombea chama chetu(CCM) kwa hiyo hatushangai kuona hivyo,maana hayo ndio yale mauchafu yanayoichafua CCM,na ndio wanatakiwa UKAWA.WAENDE TU.bado,na wengine wanajishauri muda si mrefu mtasikia.CCM OYEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  4. umasai tu unawasumbua...................wanarudisha cadi lkn kura yao ni kwa tingatinga...................hapA kAz tU

    ReplyDelete
  5. Ukishakunywa maji ya CCM kisawasawa hushawishiki ng'o,hata upewe sh.ngapi nafsi itakuwa inakusuta,hawa sio wa CCM damu,nadhani walikuwa bendera kufuata upepo,na pengine siku ya kupiga kura uzalendo utawashinda watachagua CCM.HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  6. NA IWE LAKINI HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  7. Ni uongo wenye makucha.

    ReplyDelete
  8. Yelewiii,Yaani sielewi kitu HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  9. Watu wa Monduli wanamsimamo, umoja na maamuzi Magumu si mchezo. Wakiamua wameamua na wamejiandikisha. Sasa bado LONGIDO, NGORONGORO na kule alipogundulika binadamu wa kale LOLIONDO huko we acha tu.

    ReplyDelete
  10. NAMBA TULIYOPEWA YA WANACHAMA NA KADI TUNAZOONA ZIMERUDISHWA TOFAUTI MBONA?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Muulize nape na Kinana kunguru wewe

      Delete
    2. Mimi CCM lakini kura simpi magufuli nampa Lowassa

      Delete
  11. Hicho ndicho kinanifanya nizidi kuipenda CCM mpya,Ndumila kuwili ni kuwatimua tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad