Picha 6 za Edward Lowassa Mbele ya Wananchi wa Babati na Mto wa Mbu Oct 2.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

l2
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA Edward Lowassa October 2 2015 alisimama mbele ya Wananchi wa Jimbo la Babati Mjini katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha, Babati Manyara.
L1
l3
l4
l5
l6
Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli kwa Chadema kupitia mwamvuli wa UKAWA, Julius Karanga, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. LOWASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!

    ReplyDelete
  2. peopleeez power mwaka wetu huu!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. kwa hali ya umeme unavyotutesa ntakupa kura yangu

    ReplyDelete

Top Post Ad