Picha: Siwema wa Nay wa Mitego Aanza Maisha na Mpenzi Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mpenzi wa zamani wa Nay wa Mitego, Siwema aka ‘Mama Curtis’ ameonekana akila bata na mwanaume anayedaiwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya baada ya kuachana na rapper huyo.
10735125_1461429930847538_1292275042_n
Mpenzi huyo wa Siwema anayetambulika kwa jina la John, alipost picha akiwa pamoja na Siwena na kuandika; Mama curtis kanuna.”
11326433_871383932916802_1544833578_n
Baada ya kauli hiyo followers wake walimuomba afafanue zaidi na yeye kueleza: Daah leo tu ndo kaamka hivyo mke wangu.”

11373882_833992820047476_284039491_n
11421969_163629853969139_2112605113_n
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haa hapa kachemsha kiserengeti boy tu hicho unajishusha hadhi....tsikitsa toka kenya

    ReplyDelete
  2. Da bora alivyotemwa na Ney maana kabovu kweli saiv kapata mbovu mwenzake wataendana.

    ReplyDelete

Top Post Ad