Prof. Mark James Mwandosya Atoa Kauli ya Kuhama...Anakukaribisha Anapohamia..Soma Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika akaunti yake ya facebook Prof. Mark James Mwandosya ameandika:-

"Mitandao ya mawasiliano leo imesheheni tena taarifa za Profesa Mwandosya kuhama. Napenda kuwathibitishia ndugu, marafiki, na watanzania wenzangu, tena kwa ukweli kabisa, kwamba nahama, kutoka Dar es Salaam kwenda kijijini Lufilyo, Busokelo. Karibuni sana kijijini"-Prof. Mark James Mwandosya
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu akubariki,na maisha yaendelee vyema.

    ReplyDelete
  2. Hongera,Mungu akulinde na hata siku ya uchaguzi usiugue hata mafua ili uweze kumchagua J.P.MAGUFULI(TINGATINGA,JEMBE,KATAPILA)au
    E.LOWASSA,LUWASSA..............................

    ReplyDelete
  3. Huyo ni mwalim wangu anaijua siasa ilivyo japo yeye ni mtu wa sayansi

    ReplyDelete
  4. Hatuna shida naye ujana aliutumia wapi atuletee shombo la uzee ukawa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli kabisa, na ndio maana mkawachukua vijana 'wakujinyea' na 'Mr. Zero'.....hongereni kwa hilo

      Delete
  5. HUYO YUPO CCM KIMWILI TU,H.ATA CCM WANALIJUA HILO TUNA TAKA MTU JASILI KM LOWASA KUNINI MTU UNDELEE KUJIUMIZA ROHO LOWASSA NA SUMAYE HONGERA SANA SANA SANA SANA MMEONESHA MFANO TAIFA LITAWAKUMBUKA KWA KUTUAMSHA HOA WENGINE NAENDELEA KUKUGUZA VIDNDA VYAO CHUMBANI

    ReplyDelete
  6. Hapana bwana, watu hawamaanishi kuhama mjini kwenda kijijini, tumesikia ukawa kuna operesheni ya 'toroka uje', hebu tupe ukweli wako mzee, ni kweli unatoroka uende? Wewe ,Kingunge, Sofia Simba naaaanani vilee ......ngoja nikachabo tena nitawaletea majina mengine jumla matano

    ReplyDelete
  7. profesa mark mwandosya,salaam.abagonile bana.twambombo.nimesoma kwenye mitandao leo hii alhamisi TAREHE 1 OCTOBA 2015 kwamba unahama da-es-salaam,unahamia kwenu busokelo tukuyu.ni wazo zuri sana. unarudi kumalizia uzee wako ukilima maharagwe.ulikua mwanasiasa,ukaingia mchakato wa urais ccm.jina lako likakatwa na kikwete,halikurudi na nafasi yako ikachukuliwa na januari makamba aliyekua na cv nzuri zaidi kuliko yako iliyokua na shaka.awali wakati wa kutafuta wadhamini ndani ya ccm ulikua na tambo mbali mbali zenye kero na nyingi ukizielekeza kwa mheshimiwa edward lowassa.hatujui ulikua unatumwa na rafiki yako bernard membe au ilikua ni wewe mwenyewe.sasa hivi mheshimiwa edward lowassa au edo kama ulivyokua unamwita anajiandaa kuapishwa kama rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania mapema mwanzoni mwa novemba 2015.na historia hii tutaiweka sisi watanzania tulio wengi mnamo tarehe 25 octoba 2015 siku ya uchaguzi mkuu wa tanzania utakaofanyika kwa amani na utulivu mkubwa.watanzania tulio wengi tumekwisha amua[kamwe hatubadiriki] kumchagua mheshimiwa edward ngoyai lowassa.ni wazi lowassa kuchukua dola kutawatesa sana baadhi yenu kisaikolojia na tutashuhudia madhara mengi ya afya zenu yakiwapo magonjwa ya akili.TUNAMPENDA SANA LOWASSA.

    ReplyDelete
  8. WAACHE WAHAME TU.... NDIO SIASA! ILA WATAMBUE WANANCHI WENGI TUNAPOPATA PICHA HII,TUNAPOTEZA IMANI NA UKAWA! HASA CHADEMA AMBAYO INAWAKUMBATIA WAKATI KIPINDI CHA NYUMA WALIWAPIGA SANA VITA! WANATUGEUZA SISI WANANCHI HASA SISI TULIOKUWA WAKEREKETWA WA CHADEMA, KUWA MAZUZU!!!!! SASA HUKO WANAKOTOKA NDIKO TUNAPELEKA KURA ZETU!
    HALAFU CHADEMA WASISAHAU, SISI WAKEREKETWA WAO TANGU AWALI, TULIMSIKILIZA VIZURI SANA DR. SLAA NA TULIMWELEWA VIZURI!
    TUMESHAFANYA MAAMUZI..

    ReplyDelete
  9. WEWE ANONYMOUS OCTOBA 1,2015 SI MWANACHAMA WALA MPENZI,WALA SHABIKI WA UKAWA NA PIA CHADEMA ILA NI MWANACHAMA MUOGA WA CCM BWEHA WEWE UNAOGOPA HATA KUJITAMBULUSHA UANACHAMA WAKO.UANDISHI WAKO UMEJAA UZANDIKI TUU NA UPUUZI.ATI WEWE NI MFUASI WA DR SLAA HILO SISI,HATULIJUI AU PENGINE WEWE NI HAWALA WA MCHUMBA WA SLAA. SASA HIVI JINA SLAA MAANA YAKE NI, MHALIFU WA KISIASA,TAPELI,HAINI,MSALITI NA CHIZI MPYA WA CCM INAYOJIANDAA KUHAMA IKULU.WANAHAMA BAADA YA KIPIGO-MBWA KINACHOWASUBIRI SIKU YA YA UCHAGUZI MKUU JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015.SASA HIVI HAPA TANZANIA KWA LEO KUNA JINA LA MWANAUME MMOJA TUU EDWARD NGOYAI LOWASSA,WATANZANIA WENGI SANA TUNA HAMU KUBWA YA KUMSIKIA MHESHIMIWA LOWASSA KWANZA, AKILA KIAPO CHA KUIONGOZA TANZANIA MPYA,NA PILI HOTUBA YAKE YA KWANZA KWA TAIFA AKIWA KAMA RAIS WA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.JAMANI RAHA SIO RAHA?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Punguza jazba mzee, ukawa mmezidi matusi, hamuwezi kuongea point mpaka mtukane, why?? Ni kweli tunasubiri tuone akiapishwa, ila tahadhari 'asijinyee' tu!!

      Delete
  10. kumbuka alijinyea mheshimiwa magufuli pale kahama wakati anajitutumua kupiga push-up zake.unajua ilikuaje,ilianzaje,pata kipande hiki.akiwa tayari ameshachoka ghafla aliamua kwenda chini kifudi-fudi huku akiweka mikono yake miwili kama kiguzo.ghafla waliokua wamezunguka jukwaa kuu karibu tukasikia kishindo kikubwa kutoka mgongoni kwake" BUU,BUU,BUU,TRIII,TRIII,halafu mwisho BUUUU" kampeni meneja abdallah bulembo akaruka,akakambia kumnyanyua mheshimiwa magufuli,kumbe alianza kwa kutoa hewa chafu[back-wind] kisha akaunganisha na kwenda haja kubwa nyepesi[kuharisha] pale pakatokea patashika harufu kali sana hapakaliki,pazia la jukwaa kuu likatayarishwa haraka haraka ili muheshimiwa abadirishe uniform.lilikua ni tukio la aibu kubwa na fedheha na baada ya tukio lile muheshimiwa akarudi tena jukwaani[akiwa mpya] na kuendelea na ratiba,akahutubia kwa dakika kumi tuu wakampokea wasanii wa gobogobo baada ya tukio hili la aibu la kahama anachungwa na kujichunga hali ile isije ikajirudia.nijibu nikuarifu tena ya aibu kubwa,ya magufuli yaliyojirudia dodoma.

    ReplyDelete
  11. HII YA MAGUFULI KAHAMA KALI,TENA MOTO.INAFUNIKA ZOTE.TUSAIDIANE IWE PRINTED NAKALA NYINGI SANA ENDELEVU WAGAWIWE WAKUDA WOOOTE WOTE KABISA,NA WA KWANZA KUPEWA AWE KIKWETE,WAFUATIE MANGULA,KINANA,BULEMBO,MAKONGORO,NAPE,MWIGULU,SHAKA,ALI VUAI,MALECELA,MKAPA,MSEKWA,YUSUPH,JANUARI,KIGWANGALA, NA MSUKUMA[HILI IKIWA NDIYE GENGE CHAFU LILILOSHEHENI WAHALIFU-MBINU GRADE 'A' WA CCM].HILI NDIYO GENGE KINARA LA KUCHOCHEA,KUIBA NA KUPANGA KUUVURUGA USHINDI HALAI NA WA WAZI KABISA -CRYSTAL CLEAR WIN -WA RAIS WETU MTARAJIWA WA AWAMU YA TANO;MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA.TUPO MACHO NA TAYARI TUMEKWISHA CHUKUA HATUA STAHIKI.

    ReplyDelete

Top Post Ad