Wafuasi wa UKAWA Wavamia Msafara wa Magufuli Jijini Arusha Huku Wakiimba Lowassa!!!.....Lowassa!!........Mabomu Yarindima, 6 Watiwa Mbaroni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mgombea  Urais  wa  Chama  cha  Mapinduzi  (CCM)  yuko  jijini  Arusha  ambapo  jioni  hii yupo  katikati  ya  jijini hilo  ndani  ya  uwanja  wa  Sheikh Amir Abeid,  akinadi  sera  za  chama  chake.

Kabla ya kufanya mkutano kwenye uwanja wa Sheikh Amir Abeid  jioni  hii, Dk. Magufuli alielekea kwanza wilayani Monduli leo asubuhi ambako alitakiwa  kufanya  mkutano wa hadhara katika eneo la Mto wa Mbu  kwa  mujibu  wa  ratiba  yake.

Taarifa  tulizozipata  zinaarifu  kuwa  hali  haikuwa  nzuri  katika  eneo  hilo  la  Mto  wa  Mbu  baada  ya  msafara  wake  kukumbana  na wafuasi  wa  UKAWA  ambao  walivamia  msafara  huo  na  kuanza  kushangilia  wakisema  Lowassa!!!....Lowassa!!  Lowassa!!!  huku  wakiwa  wamenyoosha  vidole  viwili  juu.


Mkatafute pa humea hatuitaji pushap tunataka dawa mahospitali maisha bora na elimu bora
Hali  hiyo  iliwafanya  polisi  waingile  kati  kwa  kupiga  mabomu  ya  machozi  ambapo  vijana  kadhaa wametiwa  mbaroni  wakituhumiwa  kuhujumu  mkutano  huo  wa  Magufuli.

Ccm arusha haina nafasii ni mda huu maandalizi ya magufuli ndo tunampokea namna hiii
Mbali  na  matukio  hayo, Magufuli  amefanikiwa  kuliteka  jiji  la  Arusha  na  Watu  wamefurika  vya  kutosha  ndani  ya  uwanja  wa Sheikh Amir Abeid
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wamenunuliwa hao wacha wapigwe mabomu tuu maana hawajitambui coz hairuhusiwi siasa za kishamba hizo kuhamasisha fujo

    ReplyDelete
  2. Ccm gari kubwa ushind WA kishindo mwaka huu, kama waambie na hao wakambi ya upinzan wenzio kwamba huwezi zuia mafuliko

    ReplyDelete
  3. CCM CHAMA KUBWA UKAWA KILA SEHEMU MNAFANYA FUJO INGEKEWA NI VIJANA WA CCM WANAWAFANYIA FUJO UNGEMSIKIA MBOWE AKIBWATUA,,,JIPANGENI UPYA MABADILIKO YAPO KWA MAKUFULIIII MTAISOMA NAMBA SOON VERY SOON.

    ReplyDelete
  4. Zomea zomea CCM Kila Mahala

    ReplyDelete
  5. Yalianza CCM tangu mkutano mkuu wajumbe WA CCM
    Lowassa Lowassa
    Mbele ya kikwete

    ReplyDelete
  6. Hao walokamatwa wasitoke mapaka baada ya uchaguzi, ndio akili itawakaa sawa........PUMBAVU ZAO

    ReplyDelete
  7. UNAULIZA NI NANI ALIYEWATUMA?HEBU ONDOA WEHU NA UJINGA WAKO HAPA.HAWA NI WAFUASI WA MABADIRIKO TEAM 2015.WAKO COMMITED NA UKAWA.MGOMBEA ASIYE CHAGUO LAO ANAPITA BARABARANI,HAWAUZUII MSAFARA WAKE HAPANA, WANAIMBA KWA KUMSIFIA MWANASIASA WANAYEMUUNGA MKONO KUMSIFIA ,KUNA UBAYA GANI?NAULIZA TENA KUNA UBAYA GANI? HAWA HAWA KAMA WANGEIMBA KUMSIFIA MAGUFULI ANGEKENUA MENO NA KUWAPUNGIA MKONO NA WANGEITWA WAKEREKETWA.HAYA NI MAONEZI MAKUBWA NA YA WAZI YANAYOFANYWA NA JESHI LA POLISI WANATUNYANYASA.TAYARI WANA MAAGIZO TOKA KWA MWENYEKITI WA CCM, KIKWETE-KUWAPIGA WAFUASI WA UKAWA..MUNGU YUPO MASHUJAA HAWA HAWA LOWASSA AKIPITA WATAKUA ENROLLED POLISI,WATAPATIWA MAFUNZO KUPITIA NGAZI MBALI MBALI NA WATATEULIWA MADARAKA NDANI YA POLISI.CCM NI WAHUNI, WAPUUZI,MAKATILI[SI UNAZIONA COMMENTS ZAO]WEZI NA WALIOJAA HILA CHAFU,NA WALAANIWE WATUNGUKE KAMA MAGUNIA YA TAKA ZA WARANDA MBAO OCTOBA 25,2015 JUMAPILI YA KUKUMBUKWA.TUTAWATOA VIJANA WETU MASHUJAA,TUTAWAWEKEA DHAMANA,WATASHIRIKI KIKAMILIFU SHUGHULI ZA UCHAGUZI MKUU.SASA CCM WANATUPIGA SAWA TUPIGENI,LAKINI GAME LIKIBADIRIKA MSIJE MKAKIMBILIA UVUNGUNI,TUTAWACHOMOA HUMO HUMO.HILI KAMWE HALITAENDA BURE.

    ReplyDelete

Top Post Ad