Zari na Diamond Eti Basi Tena...Biashara Kwishney

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BIASHARA imekwisha! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ‘kapo’ ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kudaiwa kuwa waliweka misingi ya penzi zito ili Diamond apate mtoto hivyo baada ya mrembo huyo kujifungua Latifah ‘Tiffah’ miezi miwili iliyopita, penzi halitakuwa motomoto kama zamani, Risasi Jumamosi lina ‘full’ stori.

Chanzo cha uhakika kilicho karibu na wawili hao, kimesema makubaliano ya awali baina ya wazazi hao, yalikuwa ni kwa mwanamke huyo raia wa Uganda, kumzalia mtoto Diamond ambaye alikuwa akisaka ubaba kwa udi na uvumba.

TUJIUNGE NA CHANZO
“Wote mnajua jinsi Diamond alivyokuwa akihangaika kupata mtoto, maana wapenzi wake wote wa awali hawakuweza kumzalia. Sasa alipokutana na Zari ambaye tayari alikuwa na watoto, wakakubaliana kwa masharti kuwa ndani ya muda f’lani, amzalie.

“Sasa ndiyo ikawa hivyo, baada ya Tiffah kuzaliwa, kila mtu sasa yupo huru kufanya yake, ndiyo maana Zari amerudi kwake Afrika Kusini ‘Sauz’ na hawezi kuja kuendelea kuishi na Diamond kama wakati ule wa ujauzito.
“Kule Sauz, Zari anaendelea na biashara zake na nimesikia kwa sasa anaandaa Zari All White Party kama ile aliyoifanya Mlimani City hapa Bongo,” kilisema chanzo chetu.

Msanii chipukizi wa lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WBC’ aitwaye Harmonizer akilishwa keki na Rose.

KWA NINI HAWEZI KURUDI?
Chanzo hicho kiliendelea kutoboa siri kwamba, pamoja na makubaliano ya kuzaa, lakini pia mazingira ya sasa ya makazi ya Diamond hayatoi nafasi kwa mwanamke huyo mwenye fedha ambaye pia ni msanii, kuweza kuishi.
“Sasa hivi pale nyumbani kwa Diamond kumejaa, imekuwa familia kubwa. Maana kuna mjomba wake Diamond anaishi pale, dada zake wawili, Esma na Queen Darleen wanaishi pale. Mama yake Diamond (Sanura Kasim) yupo pale.
“Haya, achana na ndugu wengine. Lakini pia kuna wasichana wa kazi wawili na mlinzi mmoja. Sasa kwa mtu kama Zari ambaye maisha yake ni ya kisupastaa hawezi kuishi kwenye nyumba yenye watu wengi hivyo.”

ZARI ANAOGOPA UMBEYA
“Pia inasemekana Zari hataki kuishi na wifi zake kwa sababu anaogopa umbeya. Hata wakati ule alipokuwa mjamzito mpaka kujifungua, hakuwa mtu wa kujichanganya nao sana. Alikuwa mtu wa peke yake peke yake tu.”

HAKUNA TENA MAPENZI?
“Taarifa nilizonazo ni kuwa, Diamond na Zari watakuwa wanaendelea na uhusiano wao wa kimapenzi lakini si ule wa kama awali. Ila wataendelea kuwa watu waliozaa mtoto na maisha ya Tiffah yataendelea kuwa kwa mama yake hadi hapo watakapoamua vinginevyo. Zari anaweza kuja Bongo na Diamond anaweza kwenda Sauz kwa Zari.”
“Zari hataki kuishi Tanzania, anataka Tiffah aishi na ndugu zake kule Sauz hadi akue na kuanza masomo. Kwa hiyo usitegemee ule ukaribu kama wa mwanzo.”

KUHUSU DIAMOND!
Jitihada za kumpata Diamond ili aweze kuzungumzia suala hilo ziligonga mwamba ikielezwa kuwa yupo nchini Marekani katika shughuli za kimuziki. Hata alipotumiwa meseji kwa njia ya Mtandao wa WhatsApp hakujibu.
Hata hivyo, mtu wake wa karibu ambaye hakupenda jina lake lichorwe gazetini, alitatizwa na suala hili akisema:

“Dah! Wabongo bwana! Ninachojua mimi ni kuwa, bado watakuwa wapenzi japokuwa siwasemei maana Diamond naye haaminiki sana. Si unajua ameshapata mtoto, lolote linaweza kutokea.
“Ila Diamond akimhitaji Zari aje Tanzania anaweza kuja, akitaka aende Sauz atakwenda kwa sababu Tiffah lazima alelewe na wazazi wote.
“Halafu lazima ujue kwamba, Zari ni mfanyabiashara, ana biashara zake Afrika Kusini na Uganda. Kwa hiyo siyo mtu ambaye unaweza kumtegemea akae sehemu moja tu.”

Source:Global Publishers
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watu sasa hv wanafuatilia uchaguzi, ujinga wa huyu bwana akae nao mwenyewe watu hawana habari nao, manake nae naona anajitahidi awe kwenye news.

    ReplyDelete
  2. kweli mdau, washajiona hawana kiki tena wanajitahidi wazungumziwe.

    ReplyDelete
  3. Domo na bi kizee ni mastaa fake, watafute kingine kama ni mtoto mbona DNA hawataki?

    ReplyDelete
  4. watutokee hawana jipya, washachuja kama tambala bovu.

    ReplyDelete
  5. jamani huyo Tifaa mbona anamapunye kichwani mpaka wamemnyoa nywele,mama mtu kazi ya kujipaka poda na mazoezi ili asionekane mzee, mtoto kasahau kumsopsop.

    ReplyDelete
  6. kiki zoote za ustaa mtoto anamapunye lol

    ReplyDelete
  7. chuki hizi,hakuna watakalo fanya likawa zuri,mmemsema kwanini hamnyoi motto nywele na arobaini imepita kamnyoa mnamsema.na hiyo mashavuni sio mapunye ni allergy tu muuwache

    ReplyDelete
  8. hakuna mwenye chuki wee Anony 7.64 PM. funga bakuli lako. kwa taarifa yako huwa wanapenda kusemwa yes Tifaa anamapunye ndo maana kanyolewa.

    ReplyDelete
  9. wasimyoe cku ya 40, wamnyoe leo, huoni maalama kila pahali? weee huna macho?

    ReplyDelete
  10. Bora wao wana mtoto mwenye mapunye. Nyie huyo kura 90 wa kwake yuko wapi? Ataishia kulea mbwa na paka. Muwaache. Na roho zenu mbaya. Pumbaff zenu wote.Mcxxxx

    ReplyDelete
  11. kuwa na mtoto unaoa fahari hee, ndo maana wanakuwa wasenge hasa wakwako Anony 6.32 PM. bora uwe na mbwa atakulamba. Mcxxx mwenyewe

    ReplyDelete
  12. pumbavu mwenyewe mwana kumamayo, bora niwe na mbwa kuliko mtoto wa kusingiziwa.

    ReplyDelete
  13. Acheni udaku
    Kuachana suna kwa waislam kwani wameoona
    Japo simpendi Nasibu kwa hili mwacheni zaeeni wenu nanyi msingiziwe

    ReplyDelete

Top Post Ad