Bond wa Wastara Afanya Maamuzi Magumu, Aomba Radhi, Akata Rasta na Kusema Alikuwa Akiishi Kwenye Kivuli cha Shetani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchumba wa Wastara Mr Bond Amefunguka Haya Kwenye Ukurasa wake wa Facebook:

"Alhamdulillah
Namshukuru mungu kwa kunisimamia kwa hili jambo kwani haikuwa kazi rahisi kuachana na kila kitu na kuamua kutafuta upya maisha yangu halisi na yaukweli
Pia nashukuru wote mlioniombea mema katika siku hizi arobaini za kukaa Sober mungu atawalipa kwa dua zenu
Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha wote nilio wakosea kwa nililuwa siishi maisha yangu halisi bali nilikuwa katika kivuli cha shetani, hivyo naomba msamaha kwani sote ni binaadamu na hatuja kamilika.
Let us seak for the new bigining In shaa Allah" Bond
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani kuwa na rasta ni dhambi?

    ReplyDelete
  2. naomba ufafanuzi kwa hilo la kivuli chake cha ushetani na hiyo picha ya kukata rasta.

    ReplyDelete
  3. Mshukuru na Wastara pia, ni mmoja kati ya watu walochangia kubadilika kwako, ikiwa ni moja ya masharti alokupa ili umuoe.......WELL DONE BRO.....!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ''Rasta ni imani kuhusu Upendo, Umoja, na Amani ya kweli'' Dreads ni utambulisho tu!
      ''Unaweza usiwe Dread ukawa Rasta; au Ukawa Dread na usiwe Rasta''. Tuelewe kuacha ushetani ni jambo jema sana ila si kwa kunyoa nywele au rasta/dread. Imani ya kweli inatoka moyoni.
      Galatians 3:12. And the law is not of faith: but, The man that doeth them shall live in them.

      Delete
  4. Umeacha kweli lakini?? Maana mwanaume akitaka kitu hata machozi atatoa, akishapata basi utajutraa

    ReplyDelete
  5. KUWA NA RASTA SI USHETANI. RASTA NI NYWELE TU AMBAZO HAZICHWA HAZINA USHETANI WOWOTE. USHETANI WA MTU UMO MOYONI MWAKE NA SIO KWENYE NYWELE.

    ReplyDelete

Top Post Ad