Breaking News: Rais Magufuli Afuta Sherehe za Uhuru Disemba 9..Atoa Agizo Hili..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema rais.John Pombe Magufuli amefuta maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na kuagiza fedha zilizopangwa kwa shughuli hiyo zitengwe kwaajili ya kufanyia shughuli nyingine na pia akaagiza siku hiyo kutumika kwaajili kufanya usafi nchi nzima kwaajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. Afute na mwenge

    ReplyDelete
  3. Una akili we Tingatinga mpaka unapitiliza,watu(UKAWA) wameshindwa kuaga mwili wa mpendwa ( Mawazo)wao kisa kipundupindu,sasa leo sherehe za nini wakati kila kona Tanzania kuna kipindupindu?MUNGU AKUBARIKI UZIDI KUFUNGUKA,WATANZANIA TUKO NYUMA YAKO,TUNAKUOMBEA tunajua wako wanaokupiga vita,washindwe kabisa.

    ReplyDelete
  4. MAGARI YA MILIINI 90 NA POSHO ZA WABUNGE NAZO ZIFUTWE TUNATAKA PESA ZITUMIKE KWENYE MILADI. KAMA WABUNGE HAWATAKI WAACHE UBUNGE

    ReplyDelete
  5. nimeipenda hiyo,.... nadhani waliokutangulia katika urais wanakuonea donge ulivyo tofauti na wao hususan kifupi nyundo mbabe. weraweraweraweraweraaaaaaaaa

    ReplyDelete
  6. tutaona mengi mwaka huu

    ReplyDelete
  7. Mr ndunguru wewe unaweza kushangilia kivyako-vyako huku wenzio HAPA KAZI TUU hakuna uhuru bila haki na haki ni kwa wrote sio wachache , sijawai kumpenda said yyte bongo lakini ma🔒🔒🔒 nimemkubali

    ReplyDelete
  8. CCM OYEEEEE HAPA

    KAZI TU MR RAIS

    ReplyDelete
  9. Jamani 9 December iko palepale isipokuwa itasherehekewa tofauti, badala ya kucheza ligwaride la uwanjani, litachezwa ligwaride la usafi.......HAPA KAZI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad