CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!! Wamuuliza Dr Tulia Alijiunga Lini CCM...Je Lowassa na Duni Haji Alijiunga Lini Chadema ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!


Le Mutuz Nation
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kijana umejichanganya alikotokea Lowasa na Duni nitofauti na alikotokea Tulia so vema ukajipanganga ndio utoe hoja la sivyo utakuwa kituko kwa wanaojielewa

    ReplyDelete
  2. kukosea nini ?kwani wanavyama vyao japo wanafanya kazio serekalini unataka kila anaefanya kazi awe anatangaza kajiunga lini na chama fulani?WALIYOYAFANYA CHADEMA KUJIUNGA LEO KESHO UNAPEWA KUGOMBEA URAISI NDIO HAYO HAYO NI DEMOCRASIA SO KACHUNGENI MIFUGO YENU WATU WAPANGE SEREKALI

    ReplyDelete
  3. UKAWA kubalini yaishe,kama ni makosa kisiasa hata nyie mmekosea sana hadi kufikia nyie wenyewe kwa wenyewe kufarakana kiasi kwamba wengine wameachia ngazi mambo ya siasa.Shida kubwa kwenu ni kuitoa CCM madarakani,shida yenu ni tamaa ya kuongoza nchi na si vinginevyo,wananchi tunalijua hilo.si kweli kwamba mna uchungu na maisha ya wananchi,nyie ni waongo,wafitini.Kama kweli mnataka mabadiliko na kwamba mnaumia kuona mvuja jasho hapati haki stahiki,kwa nini kwa sasa msingempa ushirikiano Rais aliyeopo muipeleke TZ kunakostahili na badala yake mnachochea vurugu zisizo za msingi?Tunawachukia,mnakera,Wa-TZ hatutaki vurugu,hatujazoea.MUNGU TUBARIKI WATANZANIA.

    ReplyDelete
  4. 'NYANI HAONI KUNDULE'

    ReplyDelete
  5. toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako

    ReplyDelete
  6. Hao ndio chadema bana aka WAPINZANI, kazi yao ni kupinga kila kitu hawana kazi nyingine, walipinga Lowasa kuwa CCM wakamwita FISADI, lakini huyo huyo wakamsimamisha eti agombee urais, HAWANA JIPYA

    ReplyDelete
  7. Mfano unaotoa hauna uhusiano wowote wa kimantiki hakuna katazo la kisheria mtu kuhama chama akagombea urais lakini alichohojiwa Tulia ni uhalali wake wa kuwa mwa CCm wakati yupo katika wadhifa wa naibu mwanasheria mkuu wa serikali ambapo kisheria ni makosa.Tuwe tunatoa hoja zenye mashiko.

    ReplyDelete

Top Post Ad