Dr. Magufuli na Ununuzi wa Vitanda Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili, Je Procedures zote za Manunuzi ya Umma zilifuatwa ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.

Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?

Je huyo supplier wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko yote hiyo na juzi ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za manunuzi ya UMMA zilifuatwa ?



Source: By Makombeni10/Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh! Watanzania kujifanya wajuaji!! Mmeibiwa miaka nenda miaka rudi kwa manunuzi hewa mpo kimya, leo JPJM kabadilisha matumizi ya hizo pesa mshaanza maswali!! kumbe ni heri wangezinywea bia hizo fweza.........mfyuuuuuuuuu, hovyoooooo

    ReplyDelete
  2. Kwa mtindo huu, tutanyooka tu.

    ReplyDelete
  3. Pesa zate zilikuwa za kifisadi na matomizi yake ni kifisadi tu

    ReplyDelete
  4. Kwanza inatakiwa u2mie akili ufikilie kwa undani zaidi kabla haujapost ujumbe ako unauliza maswali ya kisenge mkubwa kwani iyo pesa ilikuwa kwenye mfuko wa serikali paka wafuate izo procedures? Pesa yenyewe ilikuwa ya michango ya sherehe sasa unauliza gani? Inaoneka we ni UKAWA nenda ukalale hauna jipya kama Wafuasi wa Kibwetele

    ReplyDelete
  5. Mpost mada ulitaka iundwe kamati ya manunuzi kama mlivyozoea ilu mpate ulaji.utaisoma namba kama hujajipanga utapangwa tuuu.Hapa ni kazi tuu. Kweli mimi nilikuwa UKAWA damudamu lakini kwa sasa natamani uchaguzi urudiwe nimchague Magufuli. Mtanyooka tuu.

    ReplyDelete
  6. NO. TUNAISOMA SOTE NA NYINYI WA SERIKALINI NDIO MTAUMIA ZAID ULAJI HAUPO ANGALAU MH. RAIS IWE JUHUDI YA ENDELEVU MAISHA YASHUKE KIDOGO TUMAJI KWA MILAJI MINGI SERIKALINI.

    ReplyDelete
  7. Mtoa mada kauliza swali hajampinga mtu yeyete, pengine ni mwanafunzi anayesomea maswala ya manunuzi ambaye katika kozi yake kafundishwa manunuzi yote ya serikali hufanywa kwa taratibu za kimanunuzi ambazo huchukua siku kadhaa kukamilika. Kama wewe ni muungwana ungemsaidia kwa kumjibu tu kuwa hizo fedha ni za hisani ambazo hazikutoka katika mfuko wa serikali hivyo raisi ana mamlaka ya kufanya uamuzi wa manunuzi ya jinsi hiyo ukizingatia dharura ya huduma iliyohitajika!! Hata hivyo agizo la raisi wa nchi ni sheria.

    ReplyDelete
  8. Acheni kujiongezea dhambi kutoa majibu magumu kwa maswali mepesi.

    ReplyDelete
  9. Na bia walizotaka kununua wangenunuaje na pesa zilikuwa wapi. Ww ni mjinga usituchoshe. Pesa tayari zilikwepo raisi kabadilisha matumizi tu. Acha kutuletea hizo theory za kwenye makaratasi na zinazoturudisha nyuma. Ninaimani hakuna aliyeiba ile pesa. Ila ww ulitaka ziibiwe na hivyo vikao vyenu au ulitaka upewe tender.hayo Ndo mabadiliko tubayotaka mambo ya michakato changamoto, litashughulikiwa, awamu hii hatutaki. Pole Kama umekosa 10%. Subiri mkwele akiwa raisi

    ReplyDelete

Top Post Ad