Hapa Kazi Tu Inaendelea..Vitanda na Magodoro Yamwagwa Muhimbili Hospital...Ni Baada ya Rais Magufuli Kusema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jumla ya vitanda 500 na magodoro 500 vimeshushwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jana Baada ya Rais Magufuli Kuamuru hela za kufanyia Sherehe yake zaidi ya mil 200 zitumike kununulia vitanda vya wagonjwa.
.
kuna watu wengine bhana kila kitu kupinga hata Yale yanayofanyika na tunaona yanastahili kupongezwa. Nani angeweza kuliko Tinga tinga

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa hakika anastahili pongezi, ,wangapi wamepita hawakulijua hili ahsante baba tetea sisi wanyonge huduma na madawa baba viweko mungu akutie nguvu ikombomboe Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Mlikuwa mnazungusha mikono na Kingunge endelee kuzungusha iyo mikono? HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  3. Naona kama mungu ametuletea another Nyerere, this is Mchonga meno wetu. Asante sana Dr. Magufuli. Hapa kazi tu na usawa wa binadamu tumechoka kunyanyashwa na watoto wa vigogo. lol kitu kidogo or baba yangu mzee Makamba nitakuweka ndani na nikupotezee huko lol.

    ReplyDelete
  4. Yaani amesamehe kula 'vyuku' sababu ya kuwajali watanzania wanyonge.......AHSANTE SANA MUNGU KWA HII TUNU ULOTUSHUSHIA, HAKIKA JPJM NI CHAGUO LAKO MUNGU BABA.......TUNAKUOMBA UMLINDE NA WAMPINGAO WASIMFANYIE 'FIGISU-FIGISU', AMEEN

    ReplyDelete

Top Post Ad