KIMENUKA..Kinje Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Tuhuma Anazozushiwa na Mange Kimambi Kuwa Anajihusisha na Uuzaji wa Madawa ya Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kinje Akiwa na Familia yake...
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Kinje ambaye ni mtoto wa Mwanasiasa Maarufu Tanzania Ameamua Kumjibu Mange Kimambi Ambaye Mara Kwa Mara Amekuwa Akimtuhumu kuwa Anahusika na uuzaji wa Madawa ya Kulevya....

Kinje Ameandika Haya:

"Poor you @mangekimambi_ ,let me tell you something Serikali ya Tanzania itaanza nawewe na hao wanaokutuma ili Upoteze Jamii Maboya, wanaokutuma wengine ni familia yako so @mangekimambi_ unaweza kundangaya watu wachache tu Lakini ukweli ni kwamba Wewe Unatumwa Na wahusika wakuu WA madawa ya kulevya ili Upoteze lengo Lkn Serikali ya awamu ya 5 haidanganyiki na itakunyorosha Wewe Na hao wanaokutuma...Alafu as I told you last time Peleka ushaidi wako kwenye kitengo Cha madawa ya kulevya Tanzanian Na Kama uwezi hapo USA wapi CIA,DEA Na FBI you can give them your evidence Other wise shut the fuck off and leave me Alone..| Kinje
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kinje usipanic kila mtz anakujua wewe ni kinara wa drugs.

    ReplyDelete
  2. UKWELI UNAUMA KINJE. NAONA UNATAKA KUMFUNDISHA DAI AKUBEBEE.

    ReplyDelete
  3. KWELI KINJE NI MUUZA MADAWA TENA UMEWAUA BONGO FLEVA WENGI.

    ReplyDelete
  4. Masogange aseme ukweli, kama si wewe uliembebesha madawa, na tid je?

    ReplyDelete
  5. kama kuacha kuwabebesha watu labda mwaka huu wa Magufuli, familia nyingi zinakulaani Kinje mwache Mange.

    ReplyDelete
  6. mtatajwa wengi mwaka huu, mwacheni Mange asemeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  7. usimuonee Mange kuna wengi wanakutaja unawaulia watoto wao Kinje.

    ReplyDelete
  8. Kinje Kama huuzi unga kwa nini vidole vingi vina point out kwako?
    Yaani mamia ya watu hawajuani Leo hii waamue kukusingizia?
    I know very well from Gymkhana era and Shaban Robert. I know you sana tuu... But I must not disclose my identity...
    Waswahili wanasema lisemwalo lipo..... Kwa hiyo Kama ni kweli acha. There is not need keep arguing with a mother with kids in USA. She is married, happy with her family in USA, her only concern, just I have, is to keep the drugs out of our children. You have been named numerous times including on Jamii Forum...so, if you want to pick a fight begin with jamii forum and other sources. Leave the beautiful lady alone

    ReplyDelete
  9. thats true Anony 11.46 PM

    ReplyDelete
  10. Wapi ngwea,yuko wapi mangwea wetu mjaa laana wewe?hela zote mlizonazo jamani,si mmuache hii kazi.

    ReplyDelete
  11. TUKO NDANI YA TANZANIA MPYA,SIO MANGE TU KWA KUWA KAKUTAJA,BALI HATA WALIOBEBESHWA WATAKUSULUBU.

    ReplyDelete
  12. Nyamaza wewe,kwa nini akutaje ?Mange hafanyi hiyo biashara ila ulishataka kumshawishi afanye,tunajua hata kama Mange hajasema.

    ReplyDelete
  13. Asante mdau kwa kumpa kavu. Amuachee Kimambi binti. Haaa unatafuta laundry hupati labda uache lkn ukiendelea Hapa kazi tu unaye baba atakusafishaa

    ReplyDelete
  14. Nahisi kamgeuza mke wake kuwa teja maana siyo kawaida kuwa vile masikini.

    ReplyDelete

Top Post Ad