Mshahara wa Mbunge ni Milioni 3.8 Kwa Mwezi, Posho ya Ubunge ni..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa mujibu wa Mh Zitto Kabwe:

"Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni milioni 8 kwa mwezi, Posho ya

kujikimu kwa siku ni laki 120,000 kwa siku, kukaa kikao cha bungeni posho ni shilingi laki 200,000

Kwa siku, pia bado bado kuna fedha kwaajili ya mfuko wa jimbo ambayo ni milioni 46 lakini hii

hutegemeana na jimbo lenyewe na mbali na hapo kuna posho ya jimbo".

Nini maoni yako hapo?

Chanzo: East Africa Television (EATV)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanafaidi wao tu kuliko maendeleo husika

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeona ehe, wanafaidi sana ndiyo maana kampeni zao wanapata pesa za kuonga. jamani mhe. Rais, tuangalie na sisi watumishi wa kada za chini, kama sekretary, dereva, wasaidizi wa ofisi, tukiomba kupelekwa mafunzo ya mda mrefu au mfupi pesa hatulipwi kabisa. tunaambiwa kujiripia. please, angalia sie kipato cha chini mhe.

      Delete
  2. Kwa kipato hiki, wacha madaktari, wachungaji, wanasheria, walimu, maprofesa wagombee ubunge, kumbe 'INALIPA'.......

    ReplyDelete
  3. Duh!kwa kazi gani hasa wanayofanya wanashindwa hata kutoa msaada kwa yatima?kweli kwa hela hizi mbunge unashindwa hata kujitolea kununua vitabu vya wanafunzi wa hata shule moja jimboni kwako?wapigakura wenu watoto wao wanakaa chini madarasani,au kununua vitanda vya hospitali?Mheshimiwa punguza posho.

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa dr Magufuli punguza hii posho iende moja kwa moja kwenye majimbo yao ili ifanye maendeleo kwenye majimbo hayo.

    ReplyDelete
  5. HAWA WABUNGE NO PIA MAFASIDI

    ReplyDelete
  6. NA VIPI KUHUSU MSHAHARA WA RAIS NA MAWAZIRI,HUKO NYUMA TULIWAHI KUAMBIWA KUWA MSHAHARA WA KIKWETE NA MARUPURUPU YAKE NI KUFURU KWA NCHI MASKINI KAMA TANZANIA.YAANI NI MKUBWA UNATISHA.HEBU NAO TUWE WAWAZI TUUJADILI.PILI NALO NI LA MUHIMU ZAIDI KUFURU YA MALIPO YA VIONGOZI WASTAAFU MARAIS[WAPO WATATU SASA],NA MAWAZIRI WAKUU[WAPO SITA].KAMA TUMEAMUA KUWA WAWAZI KUUONDOA UNAFIKI TUWAJADIRI HAWA.MALIPO YAO PEKEE KWA SASA SAWA NA BAJETI YA MWAKA YA WIZARA,INATISHA.KAMA NI KUFUMUA,BASI KIFUMULIWE KILA KITU.MNAWAANDAMA WABUNGE WETU KWA UNAFIKI,CHUKI NA HUSUDA TUU MNAMSIKILIZA MNAFIKI MKUU ZITTO NA KACHIPUKIA MWENZIE KINGU.WABUNGE WETU WANASTAHIKI, NI HERI MAANA WAPO NA WANANCHI KATIKA KUCHANGIA MAENDELEO, KUTATUA SHIDA MBALI MBALI,KERO,KUJITOLEA, NA KULETA MAENDELEO. FIKIRIA HESABU MPYA YA KIKWETE NA MIZENGO PINDA,BALAA.UJINGA PEMBENI,TUJENGE NCHI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaongea kama fisadi, uwezi ukajitetea kwa kumrushia mwenzako mpira, alafu kazi ya kujitolea hulipwi, na hao wanalipwa mihela kibao alafu hawafanyi chochote zaidi ya kuongea vitu visivyoeleweka bungeni,

      Delete
  7. WEWE NAKUFAHAMU,ULIUZA NYUMBA,MASHAMBA,KIWANJA CHAKO CHA MASAKI,ILE LORI KWA TAMAA YA KUGOMBEA UBUNGE CHEE USIO NA UPINZANI WA KURA ZA MAONI ACT-WAZALENDO.MLITEULIWA NA ZITTO [AKIWEMO YEYE MWENYEWE] KUGOMBEA MAJIMBO 219.KAPENYA ZITTO PEKEE.NYINYI 218 [UKIWEMO WEWE PUNDA,TAMAA FISI MMEPIGWA CHINI.SHAMBA HUNA,NYUMBA HUNA,KIWANJA HUNA SIKU HIZI UNASHINDA BUGURUNI KWA WAUZA MBAO UMEJIMBANZA KIHORO,KUISHIWA .WIVU WA KIJIBA UTAKUTIA WEHU FALA WEE.

    ReplyDelete

Top Post Ad