Rais Magufuli Tena..Afuta Majina ya Maafisa wa Serekali 50 Waliokuwa Wasafiri Kwenda Mkutano wa Jumuiya ya Madola..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais John P. Magufuli amefuta majina ya maafisa wa Serikali 50 na kubakiza 4 tu waliotakiwa
kwenda kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola

Hatua yake hiyo imeokoa takribani milioni 700 ambazo zingetumika kwenye malipo ya posho na tiketi za ndege

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeap, that what we want to see, habari yakubeba misafara na kubeba mchepuko yenu kwenda mayo safarini na kutumia hela za serikali imeishia hapaaaaa lol No more Asante Dr. JPM

    ReplyDelete
  2. HONGERA RAIS MAGUFULI

    ReplyDelete
  3. Magufuli kiboko,asante Kikwete kwa kumkata Lowasa na kutuwekea Magufuli.

    ReplyDelete
  4. NINAFURAHA YA AJABU, KURA YANGU IMETUA MAHALI SAHIHI, SIJAIPOTEZA, MUNGU AKULINDE INSHALLAH

    ReplyDelete
  5. Hizo safari ndio zinazowafanya wanajenga maghorofa kila kukicha, wakati hospitalini vitanda havitoshi na dawa hakuna, MSD hawajlipwa fedha zao za madawa, walimu wanadai malimbikizo tele, wao kazi nai kuzurura hovyo tu...BIG UP CCM FOR PICKING THIS TINGATINGA OUT OF 42............

    ReplyDelete
  6. RAIS MAGUFULI NI KIBOKO WAO ASANTE SANA 2020 TUHANAKUCHAGUWA WEWE TU

    ReplyDelete

Top Post Ad