Wale Watumishi wa TRA Walioamriwa Kuhamishwa Mikoani Wamesimamishwa Kazi LEO!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Dkt Magufuli aliahidi kuwa katika serikali yake mtumishi akiharibu atohamishwa, balada yake atasimamishwa kazi mara moja na uchunguzi kufanyika dhidi yake endapo kuna haja ya kufanya hivyo. Hili amelisimamia kwa vitendo baada ya kutengua agizo la waziri mkuu la kuwahamisha wafanyakazi wa TRA walio haribu pale bandari na kuagiza wahamishwe mikoani siku ya jana.

Source:ITV Tanzania
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna hapa hapa hapa Watakwendaaa

    ReplyDelete
  2. Nyinyi mkiendelea na kazi hii bila kutoa upepo.. Tanzania itakuwa non corrupt leadership na econonimical sound lakini mkiachia kwamba mtachekwa... Magufuli you need a strong team with the same focus and genuine dynamism I'm ready to join you as I find we share in common as I'm preaching of the same... keep it up... We need this kind of leadership and next campaign is ....... on justice

    ReplyDelete
  3. Hao wafukwenzwe tu wezi na wazurumishi sana TRA. Walikama gari ya uncle wanagu na mafuta wakarudisha mafuta kwa kigogo na shikiria gari ya pound 60, wakauzizia wenyewe kwa milion 20, kama si wizi wa reje reje ni nini? Gari ilitakiwa irudishwe kwa mwenye kama mafuta merudishe kigogo wenu why mmeishikiria na hata baada ya kutoa faini? mungu safari hii amewalipia.

    ReplyDelete

Top Post Ad