Waziri Mkuu Mpya Aanza Kumwaga Cheche..Aitaka TAMISEMI Kujieleza Kwanini Mabasi Yaendayo Kasi Hayajaanza Kufanya Kazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri Mkuu Mh.Majaliwa ameitaka TAMISEMI kujieleza ni kwanini mradi wa mabasi yaendayo kasi DART haujaanza hadi sasa.

Ameagiza watendaji wote wa wizara ya TAMISEMI, akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara ya TAMISEMI kufika Ofisini kwake kesho asubuhi kueleza kwa nini mabasi hajaanzana kazi wakati miundombinu imeshakamilika.

Ameyasema hayo leo alipotembelea Wizara ya TAMISEMI na kuongea na watendaji wa wizara hiyo.

TAZAMA VIDEO:

NAFASI ZA AJIRA>>WWW.AJIRAYAKO.COM
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watokee 10 tu kama wewe mukamuunga mkono Magufuli,tutanyoooka!

    ReplyDelete
  2. Mbaya zaidi kila siku bara bara inavunjwa mafoleni hayaishi hata sikujui anachokifanya miaka zaidi ya 3 kitu gani ambacho hakikamiliki, wakazi wa morogoro hawana furaha kabisa na hiyo bara bara imewatesa sana bado wanaendelea kuteseka ukweli mie ni mmoja wapo wa wahanga wa hiyo njia

    ReplyDelete
  3. mradi wa DART ulikuwa chini ya wizara gani? usanii mtupu

    ReplyDelete
  4. Yaani mdau umenena wala si uwongo kama ulikuwa chini yao walikuwa wapi siku zote usanii uliopitiliza, hii nchi inakera sana, watu wanaangalia matumbo yao na familia zao ikifika asbh unawaza utafikaje mjini halikadharika jioni unawaza mafoleni nyumbani saa ngapi, ikija ebola na mafoleni tunavyo jambiana kwenye dala dala na majasho haponi mtu

    ReplyDelete

Top Post Ad