Diamond Platnumz na Zari Washinda Tuzo Nchini Uganda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ pamoja na mchumba wake Zarinah Hassan ‘Zari The Bossy Lady’ wamepata Tuzo za Abryanz Style and Fashion (ASFA 2015) zilizofanyika Kampala, Uganda usiku wa kuamkia leo.Wawili hao wameibuka kidedea katika kipengele cha East Africa Most Stylish Couple.

Mbunifu wa mavazi, Martin Kadinda naye ameibuka kidedea katika tuzo hizo kwa kipengele cha Mbunifu Bora wa Mwaka huku Mwanamitindo Bora wa Mwaka ikienda kwa Mtanzania mwingine, Dax Hannz.

Mbali na hao, pia Tanzania imepata tuzo kupitia staa wa kike wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee aliyepata katika kipengele cha East Africa’s best Dressed Female Artist.
Katika sherehe hizo zilifunikwa kwa shoo kutoka kwa mkali kutoka Nigeria, Banky W akishirikiana na bidada kunako Bongo Fleva, Linah.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio mchumba ni mzinzi mwenzie uchumba mpaka pele atakapopeleka posa kwa wazazi wa mwanamke na kutoa Mahali Kisha kufunga ndoa (nnikhaa)

    ReplyDelete
  2. hata Wema kapata kenya. usitubabaishe na zee la ug

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tunzo kapata wema toka tanesco na dawasa

      Delete
  3. WENGI WAMEPATA TUZO HAMUWAANDIKI ILA DOMO NA SHANGAZI TUU. HAMNA HAYA NA HUSDA ZENU.

    ReplyDelete
  4. Kenya nako Wema oyeeeeeeeeeeeee. mtakunya bandama mwaka huu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyingine ya tanesco na dawasa zinamsubiri
      Nyingine Keko

      Delete
  5. hongereni sana mr and mrs ivan

    ReplyDelete

Top Post Ad