Ajali Mbaya Dar Yachukua Uhai wa Kijana Kelvin Kaloosh

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.

Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba huu Hasa wasanii na watu maarufu hapa mjini

Binafsi nimesikitika Sana ;

Mwendokasi unaua...
Usinywe pombe na kuendesha...
Usiendeshe huku ukituma sms...
Usiendeshe ukipapasa mwanamke mapaja...


RIP Kelvin Kaloosh
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rest in peace kaloosh

    ReplyDelete
  2. Hukuwa na haja ya kuandika maswala ya kupapasa mapaja Wakati watu wako kwenye majonzi ,na ukijua fika hilo halihusiki na ajali iliyotokea ni kukosa maadili ya uandishi ,

    ReplyDelete
  3. alikuwa peke yake mapaja yametoka wapi jaribuni kuwa makini katika hili

    ReplyDelete
  4. hakua peke yake alikua na mary( mpenz wake) ila si busara tu kwa hali ya kibinaadam kiandika walikua wakipapasana mapaja,mana hakun mwenye ushahid wa hilo jamani.kwenye gari walikua waqili tu bila mtu wa ziada mmejuaje walikua wakipapasana mapaja.hata hivyo mim naona chanzo kimendika hilo kama onyo tu ila hakubainisha kuwa marehem alikua akipapasa mapaja,ameunya baadhi ya vitu kwa madereva wote. daah

    R.I.P Kelvin
    Get well soon Merry

    ReplyDelete
  5. Mmoja wa rafiki yangu alikuwepo gari jingine.......boys mlio na subari na altezaaa tuwe makini zile gar zi atuvutia kidrive lakini mwishowake huwa ni hatari
    RIP WOTE MLIOHUSIKA

    ReplyDelete
  6. Lets b careful, life is more important than love, money,and any type of luxuries you know ever.Our brothers has gone but money, love and other more are still there.

    ReplyDelete

Top Post Ad