Diamond platnumz na Qeen Darling Baba ni Baba tu, Baba Yenu Kawaomba Msamaha Msameheni Kabla Hamjachelewa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nimeona interview ya Clouds TV na Mzee Platnumz, kweli jamaa kachoka. Huyu ni Baba yake na mwanamuziki matata nchini Diamond Platnumz.
Kama alikukosea wewe na mama yako, mbona ameshasema mumsamehe? Bila ya yeye Diamond asingekuwa alivyo sasa. Hivyo inatakiwa Diamond awe na moyo mkubwa wa kusamehe mtu ambaye ameshaomba kusamehewa. Binadamu tuna mapungufu na ni ujasiri ulioje kukubali kuwa umekosa na kuomba kusamehewa.

Diamond ni kioo cha jamii, uwe na moyo wa kusamehe. Pia kwa Queen Darlin, Baba yenu kawaomba msamaha wote.
Msaidieni Baba Yenu ana Hali Mbaya
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Akifanikiwa mwanao, wakati mama anahustle peke yake hakuwa wako nyooo, hayo ni matokeo ya wanaume kukwepa majukumu yao!

    ReplyDelete
    Replies
    1. well said...... wanalipwa hapa hapa duniani. Tunayaona kwa Diamond lakini hali halisi ni wanaume wengi wazembe na wakwepa majukumu wanayapitia haya.
      Tusimlaumu Diamond, hii kitu ni nature, hakujenga uhusiano na baba yake tangu zamani ni ngumu sana kuujenga sasahivi akiwa mtu mzima na familia yake.....sanasana atamsaidia pesa tu lakini he wont be there for him. hii kitu imefanyiwa research na inajulikana ulimwenguni kote......ukiwa na nafasi soma interpersonal neural science.
      Mdau wa malezi na makuzi ya mtoto!

      Delete
  2. sio ttz la kina mama km angekua karibu na wanawe na kutimiza wajibu km baba yasingemkuta haya usimlaumu mama hata ww baba yk angekutelekeza ukapata shida na mama yk ungeujua uchungu alipotelekeza familia alijua wanakula nn wanalala wapi wanavaa nini anagutuka saivi km yy ni baba

    ReplyDelete
  3. Bado atabaki kuwa Baba yake aliyemleta duniani. Alishatimiza wajibu wake kwa Allah, kuomba msamaha kwa kujua aliikosea familia. Tunaishi kiimani hata kama Ni kuabudu miti. Kwa wewe mwislam mwenzangu kasome Quraan(17:23)" And your lord has decreed that you worship none but him. And that you be dutiful to your parents. If one of them or both of them attain old age in your life, say not to them a word of disrespect, nor shout at them but address them in terms of honour". Kazi kwako unayeamini uwepo wa Mungu na anayotuelekeza. Napenda mwandishi unapomtetea mzazi. Kwa Mungu Una fungu lako. Japo Kuna wanaodhani Ni sahihi. Mzazi atabaki kuwa mzazi

    ReplyDelete
  4. Hakuna hurumaaaa uwiii mm ndo najua adha ya kutelekezwa weeeee..baba anakwambia kwanza we sio mwanangu unaomba ada anakwambia kajiuze kama mama yako upate ada ya shule kweliii??haya bado anakwambia we unafir****w kama mama yako kweli baba huyu unabaki unajiuliza ni baba yangu kweli au baba anakutukana matusi mazito tena na mamayako juu aisee hapana mi baba yangu sitaki kumuona tulivyohangaika kusoma unaambiwa kauze mkun**d upate ada jamni acheni haya mambo yasikie tu shout out kwa wababa wote wanaojua majukumu yao mi mume wangu ndo amekuwa baba rafiki mpenzi na mume yani vyote kwa anavyonifariji..baba yetu tumemuachia Mungu ataulipia

    ReplyDelete
  5. We daimond umekua kama cio muislam rudia tena kusoma nini wazazi wawili katika uislam halafu ndio ufanye upumbavu wako me ni fan wako but kwa hilo im not with u bro.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acheni kumuonea Diamond, hata uislam nafikiri unaongelea majukumu ya baba na mama kwa mtoto na yasipotizwa what will happen.
      Kaomba msamaha atasamehewa na pesa atapewa ila ndio ukaribu na D sio rahisi labda D apigwe maombi na kuvunja ile laana aliyojitengezea baba yake. MWaume usikimbie familia, haya ndio matokeo yake

      Delete
  6. huyu mzee ni msanii tuu hana lolote anajifanya kurudi kwa domo coz ana mafanikio
    katika wa baba wavivu na wahuni huyu yumo ni wale masharobaro wa zamani akipata pesa ananunua nguo na madem wamshobokee uswahilini starehe kibao atamaisha yake kashidwa kuyatengeneza
    watoto wote kashindwa kuwahudumia huyu baba ziro kweli
    ata ningekuwa mimi domo namfungia vioo tuu
    kwanza bado ana nguvu zake afanye kazi aache shobo

    ReplyDelete
  7. Usimpe wazo Hilo kwa baba ake mzazi

    ReplyDelete
  8. msimlaumu mzee Abduli kasema ukweli alimfumania bi Sandra ndo maana akaondoka pia alimsaidia Dai kuwa staa pale aliambiwa aende kwa sangoma. sasa washakuwa maarufu wamemsahau ndo maana anaanza kutoa siri zote.

    ReplyDelete
  9. Wakati anawatosa hizo dini zilikua wapi. Saiz mtt kafanikiwa ndo kelele nyingi. Msamaha watoto walishamsamehe anachotaka uyo mze ni mshko na kick tu. Afu na ww mwandish acha kutetea usilolijua uyo baba kaeleza mabaya ya sandra mbona yake hasemi. Halafu ugomvi wao ndo awatose watoto. Anayemtetea huyu mbaba hayajamfika yakikukuta uwezi mtetea aende zake kule. Mi namunga mkono dai hakuna cha baba nibaba apa tena akae kimya ampotezee tu. Eti nilimshauri kwenda kwa mganga, kwa hiyo unataka malipo ya kwenda kwa mganga ata soni hana. Yani yy ndo alichochangia kwenye mafanikio ya mwanae. Ujinga mtupu.

    ReplyDelete

Top Post Ad