Hatimaye Nuhu Mziwanda Akubali Yaishe Kwa Shilole..Atangaza Kufuta Tattoo ya Shishi Aliyoichora Mkononi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki Nuh Mziwanda, hatimaye ameamua na yeye kufuta tatoo ya Shilole aliyokuwa ameichora mkononi, akienda tofauti na nadhiri aliyojiwekea ya kwenda kaburini na tatoo hiyo.

Nuh amesema kuwa, ameamua kufanya hivyo alipogundua tabia halisi za Shilole baada ya kuachana naye, akidai kuwa ex wake huyo ameingilia ukurasa wake wa instagram (hacking), akimtukana katika mahojiano mbalimbali, kitu ambacho kimemfanya kugundua kuwa msanii huyo alikua si rafiki yake.

Nuh mbali na kuchora tatoo mpya juu ya ile ya Shishi Baby, ameongeza tatoo nyingine kadhaa mwilini kwake, ikiwepo usoni kama ambavyo inaonekana katika picha.

posted from Bloggeroid

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nuh mziwanda nilikuona umeingia ndani ukaongea na soudy broun mkaonanana na shi shi babe yaani ulikuwa na huzuni sana mpaka nikalia

    ReplyDelete
  2. shishi komaa na jiji ulee wanao achana na huyo mario

    ReplyDelete
  3. Ulijua utakua nae milele kijana wachekesha

    ReplyDelete
  4. Acha ufala we dogo fanya kazi ule kwa jasho lako kupenda kulelewa ndo kuna kufanya upige magoti kwa huyo mama pumbavu fyuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad