google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako? | UDAKU SPECIAL

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WAKATI Mwisho Mwampamba aliposhiriki kwa mara ya kwanza Shindano la Big Brother miaka ile ya mwanzo wa 2000, Wabongo wengi hawakuwahi kufikiri kama ni kitu ambacho kingeweza kuwasaidia vijana wetu, hata pale dau kubwa la mshindi lilipotangazwa. Wengi walitazama zaidi katika maadili, kwa sababu kulikuwa na mambo mengi ambayo kwa utamaduni wetu, hayakustahili kuoneshwa katika televisheni kama yalivyokuwa yakifanyika.

Lakini taratibu wakajikuta wanaliona shindano hilo kuwa la kawaida, lenye ‘kuburudisha’ hasa baada ya ushindi wa Richard mwaka ule wa 2007.

Leo hii, vijana wawili wa Kitanzania tayari wameweka kibindoni jumla ya dola 400,000 kutoka shindano hilo, kwani Richard alichukua dola laki moja alipotwaa ushindi na Idriss Sultan, aliyeibuka namba moja mwaka jana, kwa pesa ya madafu, ana kama milioni 500 hivi!

Sasa Idriss amekuwa kijana maarufu sana katika jamii yetu, akiwa ngazi moja ya mastaa wenzake wengine wa Bongo Fleva, Bongo Muvi na kada nyingine za ustaa, maana hapa kwetu, umaarufu ni jitihada zako tu katika kujipromoti!

Kama kijana, ninajivunia Idriss, kwa sababu ameongeza idadi ya masupastaa, lakini pia kiasi cha fedha alizopata zimechangia kuwagawia Watanzania wengine kwa namna moja au nyingine kwa vile nina uhakika, mshindi wetu huyu, ana kitu anakifanya na fedha zake, ambacho kwa vyovyote amewapa ajira wenzake, hata kama siyo ya kudumu.

Lakini nje ya ustaa, nina ushauri ninaopenda kumpatia na hasa kwa kuwa ninaamini bado ni bwana mdogo kiumri, hivyo kuna mambo ambayo hayahitaji fedha ili kuyapata, isipokuwa yanahitaji kujiongeza tu kiakili.

Yeye amethibitisha katika vyombo kadhaa vya habari kuwa hivi sasa anatoka na Wema Sepetu, ambaye naye ameutangazia umma kuwa ni mjamzito. Ni jambo la kheri kwake, hasa kwa vile kwa miaka mingi, wapinzani wake wametumia kukosa kwake mtoto kama fimbo ya kumchapia.

Ambacho hakijakaa sawa kwangu, ni kauli ya Idriss kuwa mimba ya Wema ni yake. Sibishi, lakini kuna vitu ambavyo mwanaume hatakiwi kupaza sauti, hasa unaposhiriki mapenzi na mwanamke wa aina ya Wema. Historia ya muigizaji huyu staa kimapenzi, inaonesha amekosa utulivu.

Ni kujilipua kwa kiwango cha juu, mtu kuja na kutoa kauli ya kujiamini kiasi hiki na tena mtu huyo anapokuwa kijana mdogo kama Idriss. Anayejua baba wa mtoto ni mama na kwa wasichana wa Kibongo, mtu kupewa ujauzito wala siyo suala la kuuliza.

Siku zote mwanaume anapaswa kuwa mtulivu kichwani, hasa anapozungumza mambo ambayo siku moja yanaweza kumgeuka. Sisemi kwamba amebambikwa, la hasha, ninachosema hapa ni umuhimu wa kuchukua tahadhari katika matamshi.

Na hii ni kwa sababu Wema ni rafiki yake tu, angekuwa amemuoa, yupo ndani kwake muda wote ingeweza kuwa sawa, lakini hawa dada zetu ambao wakati mwingine inapita hata wiki hujaonana naye, maneno haya ni ujasiri wa hali ya juu.

Hivi siku moja ikatokea wamekorofishana (na hili linawezekana kabisa) halafu huyu binti akaamua kumvua nguo na kumwambia mimba haikuwa yake, itakuwa aibu yake au yetu?

Maneno kama haya hutakiwi kutamka hadharani, unaiambia familia yako, jamani eeeh, ule mzigo wa Wema ni wanguu! Halafu walimwengu unawaacha wenyewe wajikanyage, wakisema ni wa kigogo wewe sawa, wakisema sijui ni ya nani wewe hewala, kwa sababu siku likisanuka, utakuwa salama mbele yao !
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwanza Zari amwambie Dai Tifaa sio wake. than Wema atamwambia Idriss mimba siyo yake. upo fekero.

    ReplyDelete
    Replies
    1. YAANI MNAONEKANA JINSI AMBAVYO KUMBE MASHINDANO YENU NI ZARI. MNACHEKESHA KWELI. SASA YA ZARI NA DIAMOND YANAHUSIANAJE NA YA WENA NA IDRIS. KUMBE MNAFANYA MASHINDANO? MBONA MTAKOMA MAMBO YENYEWE NI KAMA KUSHINDANA NA ZARI MTAINGIA PABAYA. WEWE JIBU LINALOWAHUSU YA ZARI MWACHIE ZARI. YAANI MNAONEKANA JINSI MLIVYOKOSA ELIMU. SASA ZARI KUMBA NDIO KAWA ROLE MODEL WENU BILA NYIE KUJUA MNAIGA KILA KITU. HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

      Delete
  2. mbona mnamuandama sana Wema? hamuwaoni wengine lol

    ReplyDelete
  3. huyo Idria anaudogo gani wa kutoweza kumtia mtu mimba. mbona bi kizee akitiwa mimba na mtoto mdogo.

    ReplyDelete
  4. UMESEMA KWELI KABISA!!!!

    ReplyDelete
  5. Koh,koh,koh,koh,uwiii kikohozi kimenibanaje sasa.

    ReplyDelete
  6. Hivi msipoandika habari za wema, mondi, zari habari haiwi habari au gazeti haliuziki umeandika kitu kirefu hata kusoma kinatia uvivu, hata kama mimba si yake wewe inakuhusu nini na kuhusu udogo kwani yeye alivyoamua kumpa mimba hakujua kama mdogo kwendeni zenu mnakera saa nyingine tafuta vijana wengine ambao hawajatoka muwakuze kisanaa siyo kila siku hayo hayo tu

    ReplyDelete
  7. nyie wote minofu tu imewajaa na inawasumbua matakoni wasengerema nyie.....habari ya bibi bomba mnamuingizaje zari na diamondi hapo. mnakung'utwa kweli nyieeee....................

    ReplyDelete
  8. nyie wote minofu tu imewajaa na inawasumbua matakoni wasengerema nyie.....habari ya bibi bomba mnamuingizaje zari na diamondi hapo. mnakung'utwa kweli nyieeee....................

    ReplyDelete
  9. na wewe usiokuwa na minofu mpaka ukatiwa nyuma utaacha lini usenge wa kumkuza kizee mwenzio Zari na mtoto wa Katunzi.

    ReplyDelete
  10. Yale Yale tena uwongo WA humu Ni mwingi kuliko ukweli sasa tumeshituka Udogo Gani aliokua nao Idrisa mnapenda kugombanisha Watufyuu

    ReplyDelete
  11. Kwani huyo Idris katoka nchi gani lakini, si ni mtz aliyekuwa anamjua wema hata kabla hajaenda BBA??!!

    Idris alishinda BBA 2014, kwa nini ushauri na maoni yenu juu yake yawe leo 2016 baada tu ya kuwa na mahusiano na Wema? Kuna nini hapo? Hamna hata haya, wenyewe hapo mlipo mna wasichana/wavulana kibao - hivi Mungu angefunua maovu yetu nani angesimama mbele yake? Hebu jichunguze wewe unaemsema Wema, je wewe ni msafi kweli kiasi unastahili kumnyoonyea Wema kidole?

    Binadamu msijipe uwezo msokuwa nao, nyie si malaika bwana. hapo roho zawauma mkiwaza pesa za Idris za toka 2014, mtampangie mtu maisha? Shame on you all haters. Na mtakufa vinywa wazi kwa mshangao wa matendo yenu, jueni kuwa kila ulitendalo hapa duniani kuna malaika wanarekodi na Mungu pia anaona mnajidanganya nyuma ya screen za komputa na simu zenu mkidhani hamuonekani kumbe Mungu anajua mpaka yaliyomo kwenye mioyo yenu hata kabla ya kutype.

    Mmemsakama wema kama nyie ndo mnaomshikia miguu wakati wa nje ndani? PUMBAVU

    Idris na Wema fanyeni yenu achaneni na hao miungu watu wasokuwa na mbele wala nyuma.

    ReplyDelete
  12. hamuuzi magazeti bila wema - ovyo kabisa

    ReplyDelete
  13. Nawewe minafu iliyokujaa mkunduni hujioni kaondole hizo shahawa zilizokujaa hadi watoa minyoo toa hoja unatukana watu kwa sababu gani anza na waleta mada siyo wachangia wenzio

    ReplyDelete
  14. Hizo pesa mmeshikilia tangu2014 hadi Leo hazijaisha hata km anazo zimebaki ngapi waacheni wt Na Yao mbona nyie vibamia watu tunawajua mpo baridi lkn kazi kuandika uongo

    ReplyDelete
  15. Huyo Idrisa katembea Na wangapi kabla ya Wema hawajakula hizo pesa mmeshikilia Wema tuu

    ReplyDelete
  16. Upumbavu mwingine bwanaa huyu muandishi taaluma yake ichunguzwe mixeeewww

    ReplyDelete
  17. MIMI NI ZEE LA MICHEPUKO NASEMA HIVI,DIAMOND TIFFA SI WAKE NA IDRIS MIMBA SI YAKE,ACHENI UJINGA WA TANZANIA WA KUDANGANYWA KAMA WATOTO

    ReplyDelete
  18. Hii article ya kichonganishi. Mleta mada mzee mzima ovyo!! Juzi alikuwa kwa Wema kumbe anamnanga.

    ReplyDelete
  19. Mwandishi nae jipu lakutumbuliwa Wema,Zari,Daimond ndio business zake tafuta ishu nyengine

    ReplyDelete
  20. Enter your comment... Yale yale tena..??

    ReplyDelete
  21. Wote wasenge tumechoka na upumbavu wao kwani hakuna jipya la kuongea ika wao

    ReplyDelete

Top Post Ad