Mange Kimambi Atolea Ufafanuzi Sakata la Kumtukana Hoyce Temu Mtandaoni..Adai Hana Tatizo na Hoyce Bali Mdogo Wake Ndo Shida

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jana Hoyce Temu Alilalamika kupitia Radio kuhusu kusemwa vibaya kwenye mitandao..Leo Mange ameibuka na kutolea ufafanuzi kwanini Hoyce Temu Ameingia katika Ugomvi wake na Rachel Temu mdogo wa Hoyce.....Ameandika hivi

"Okay nimesikiliza interview ya Hoyce Temu CloudsFm. I'm glad hakunilaumu Mimi peke yangu, Ila pia ingekuwa vizuri zaidi yeye Kama dada angekuwa fair na asingenilaumu mimi hata robo! .

Sometimes Embu tuweni fair Jamani. Hivi Jamani how many times nimejaribu kuepuka ugomvi na Rachel Miwaya? How many times nimekaa kimya? Na hata huu ugomvi Ulivyo anza si nilimtusi yeye Kama yeye nilimtaja ndugu yake au Mwana familia yake??? Nani alieanza mambo ya kutukana ndugu na Watoto? na mkumbuke alinitukaniavMarehemu baba yangu na still nikikaaa kimya simkutukana ndugu yake, then ni kampa warning kuwa akiendelea kutukana ndugu zangu ntamwanika dadake Hoyce Temu still akadhani I'm just bluffing. Nyie mnaonilaumu mnataka niwe na roho Kama ya Yesu?Kama Ni kumgeuzia shavu la pili I think nilimgeuzia Mara 70. Mtu anajifabya yeye ndo mvuta bangi wa Instagram mlitaka nifanye nini? Mtu anamtukana mwanangu mlitaka mimi nimtukane Nani wakati yeye hana mtoto? Mtu kawa tukana dada zangu mlitaka nimtukanie paka wake na sio dada yake? Mtu katukana baba yangu Marehemu mlitaka nitukane ndugu zake walio hai?Mnakuwa hamko fair at all. .

Imagine nilisema this year staki mabeef na Mtu , kwanini Mtu asichukulie hii as a sign of peace instead anachukulia as a weakness na kupata bichwa. Nilisema Na ntasema tena jamani 2016 Ni Mwaka wa kutafuta pesa staki shobo na Mtu. Ila Mtu anaponichokonoa for a long time sometimes na mimi nashindwa kuvumilia.

Hoyce unajua Mimi sina shida na wewe. Tatizo mdogo wako tu, huyu ndo adui yako, Huyo ndo mwiba kwenye maisha yako. Kila Mtu ana past yake na wengi mno ndoa zao pia zina Siri kibao Ila mdogo wako matusi yake yanafanya watu tunaongea Maneno mazito. Deal with Rachel kwanza Kabla ya Mtu mwingine yoyote Yule and you will live your life in peace.
.
Ni hayo tu jamani, just because nimesema sitaki ugomvi in 2016 it doesn't mean I'm weak au namuogopa mtu yoyote Yule it means nimekuwa, it means nazeeka naingiza 36 Mwaka huu soon ntakuwa 40 years sitaki kuwa in my 40s bado Niko mitandaoni nachambana na watu, so I'm making the change. But that doesn't mean eti mtu ndo ajifanye anataka kuni bully, ukinichokonoa sana ntakumalizaaaaaa!" Mange Kimambi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni kweli. Rachel ndo aloanza kumtukana Mange na family yake.

    ReplyDelete
  2. Mange kajibu mapigo ya kutukanwa na recho.

    ReplyDelete
  3. nimekupenda bure mangerita

    ReplyDelete
  4. Mange mdogo wangu,nakupenda sana kiasi kwamba huwa natamani na kuomba siku moja uje uwe mwanasiasa.Mange una misaada sana kwa wengi,una huruma,ni mkweli,zaidi una wivu wa kutaka maendeleo sana.Sikufichi,UMENIUMIZA,nilitoa chozi kuona umeandika ule ujinga.Ni hivi,mtu akikutukana na hata akikutukania Mama yako,usimjibu kwa kumtukania mama au ndugu zake,maana sio adabu na kwamba wote mnaonekana mambumbumbu.Fikiria hapo Mama ana kosa gani,pengine hata hajui nini kinaendelea kati yenu.Hoyce ana kosa gani kwenye ugomvi wako na Rachel,na unajuaje pengine amemshindwa je?au hujawahi kuona watu walioshindikana hata na wazazi wao?Mbona kuna mambo mengi umenyamaza kwani kwa hili nalo ungenyamaza ungefanywaje?Watu wanadai kimya chako Kwenye blog ni eti umefulia,kitu ambacho sio kweli,wewe unajua nini kinaendelea na hata mimi najua nini kinaendelea kwako,lakini mbona umenyamaza?kwani umemegeka?umechubuka?Ukifukana na kichaa si na wewe tutakuona kichaa?Mange acha bwana,2016 umeamua kubadilika basi badilika kweli,sio nusunusu.Ubarikiwe na Mungu wetu akusimamie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau kula 5,nimekupenda bureeeeeeeeeee.

      Delete
    2. ushari mzuri sana

      Delete
    3. Wazo la Mange kubadilika ni ndoto za alinacha. Waswahili wanasema jasiri haachi asili. Shughuli kubwa anayoiweza Mange ni mabifu kama shoga ake Wema. Kaamua kukaa kimya 2016 kwa mengi mojawapo ikiwa kufulia na ndoa yake kuota mbawa. Ila hatakaa akabadilika kama vile Wema ambavyo hatakaa akabadilika.

      Delete
    4. MANGE FUATA HUU USHAURI WA MDAU 12.56.
      ITAKUSAIDIA SANA,UNA BAHATI YA KUPENDWA SANA NA
      WATU.

      Delete
  5. Hata wewe mange ni shida
    Angalia shoga yako wema kila kukicha scandaly
    Naona mzungu ka kushinda hata biashara ya nguo Huna siku hizi

    ReplyDelete
  6. Koma tena koma kumwita Rachael miwaya
    Bora ya ukimwi umati ika kulikoni wewe Malaya mtoto WA haramuuluuza Kuma kinondoni baba yako alikuwa muuuza unga mkubwa bongo
    Umemrithisha hata tabia mbaya
    Kwani kuzaa Na mzungu ndo akili
    Mbona biashara imekushinda Malaya mchanga wewe
    Una nini nini

    ReplyDelete
  7. SIMBA NA PAKA WOTE NI
    WANYAMA,WANYAMA HAWA WANAKULA WANYAMA WENZAO,MMOJA ANA URAFIKI NA BINADAMU NA MWENGINE NI ADUI WA BINADAMU.
    PATA PICHA WANAGOMBANA,UNADHANI NI NANI ATAUMIA?

    ReplyDelete
  8. Mange hana shida anafanya mambo yake na Wema pia. labda wewe Anony 1.12 PM. ndo umefulia unatafuta kiki ili ujulikane mjini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange ana ziki mpaka kwenye kope. Ndoa chali biashara chali. Kaambulia kuzalishwa na wanaume tofauti. Wema ndio kabisaa muone alivyodata na mimba yake ya mawe.mfyuuu

      Delete
  9. Mange una matatizo ya akili, si bure. unajitahidi sana kuonyesha you are happy while you are not. Unaweza kumtoa mtu bush lakini huwezi kuutoa u bush alionao. Malezi yako ni mabaya sana, ila mimi naamini huna akili timamu. Wana psycholojia wamekugundua na ndio sasa unatumika kama case study. wewe ni kichaa, nakupa mfupi utakuwa hospitali

    ReplyDelete
  10. kichaa huyu mange

    ReplyDelete
  11. Mange bhana,moto wewe,baridi wewe.
    Umekua sasa,bifu za nini?

    ReplyDelete
  12. inamaana Mange ni Nabii auxxx. akitukanwa akae kimya? nyie ndo vichaaa na huyo Recho miwaya.

    ReplyDelete
  13. Siku hizi zile picha za kujisahua na Lance hakuna. Pete ya harusi kauza. Blog mgogoro. Duka lake la kitapeli kwishney. Siasa kapigwa chini kaa Wema. Kilichobaki mabeef. Muke ya muzungu kwishney. Hahaha

    ReplyDelete
  14. usililijua linakusumbua. tuonyeshe mishauo yako na pete yako ya harusi basi. sura kama Recho miwaya.

    ReplyDelete
  15. mange ni muhuni hana lolote kutwa kupiga kelele kwenye mitandao
    baba ake alikuwa muuza unga mzuri tuu na tunamjua

    ReplyDelete
  16. Heeer gazeti hili hata km umefunga unafungulia napita mie

    ReplyDelete
  17. Mage kwanza ni mshamba!! Huna akili,hufikirii, hata ungetukanwa vipi hupaswi kulipiza kisasi kwa Dada Yake, wewe hukustahili hata kuwa mke Wa mzungu,uswahili umekujaa! Mashauzi mengi,bla bla blaa! Bora ungeendelea kuwa changu tu, ndiyo fun yako! Huoni hata aibu kuandika upuuzi wako hapa,eti jamani ningemtukana nani wakati mimi nimetukaniwa ndugu zangu, wewe ni mjinga kuliko huyo aliekutusi! Umgekuwa mstaarabu ungekaa kimya au kutafuta suluhisho, Lione!!! :-(

    ReplyDelete
  18. mange naye ana moyo hana jiwe mengine mumpunguzie jamani

    ReplyDelete
  19. Mange ni mpumbavu sana, anaishi kwa ugomvi na inashangaza IQ za wanawake wa kitz kumshobokea type hii mtu asiye na adabu. Ndio maana maendeleo hakuna inchini, watu wanawaza umalaya tu.

    ReplyDelete
  20. Rachel miwaya akukome mangenita wetu

    ReplyDelete

Top Post Ad