google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mbowe Afunguka Sababu Zilizopelekea Zitto Kabwe Kutochaguliwa Baraza la Mawaziri Kivuli | UDAKU SPECIAL

Mbowe Afunguka Sababu Zilizopelekea Zitto Kabwe Kutochaguliwa Baraza la Mawaziri Kivuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Maswali mengi yameibuka hivi karibuni baada ya wadau mbalimbali wa masuala ya siasa kutolisikia jina la mbunge wa kigoma mjini Zitto Kabwe kwa tiketi ya ACT katika Baraza Kivuli la Mawaziri

Mbowe ametoa Ufafanuzi kwanini Zitto Hakuchaguliwa Kama ifuatavyo:

“Ukawa tulisaini tamko la pamoja la ushirikiano na hiyo ilikuwa katika Bunge la Katiba. Kumbuka tumeshirikiana katika Uchaguzi Mkuu na kupata madiwani na wabunge ambao ndiyo hawa wamezaa baraza hili, Ushirikiano wetu upo katika halmashauri na majiji. Kutokana na jambo hilo huwezi kuiingiza ACT maana haikuwapo katika makubaliano ya Ukawa,”


Hata hivyo, baada ya Mbowe kutangaza baraza hilo kivuli, Zitto aliwapongeza na kuahidi kushirikiana nao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad