Mtangazaji Soudy Brown Azua Sintofahamu Kuhusu Mimba ya WEMA SEPETU Kutoka....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana Mtangazaji wa Clouds alizua jambo Instagram kwa kuandika ujumbe tata kuhusu Wema Sepetu ..
Soudy brown kwenye instagram yake kapost picha ya wema kaandika :
"Pole dada wema sepetu, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu akupe moyo wa uvumilivu pia ili utoke hospitali ukiwa salama, inshallah kazi yake Mola haina makosa"
Kisha akaweka na hashtag #INASEMEKANAETI

Baada ya Ujumbe huo mashabiki wa Wema Sepetu walilipuka kutaka kujua ukweli wa jambo hilo huku wengine wakimrushia matusi Soudy Brown kwa kushusha ujumbe huo....

Mpaka sasa Wema Sepetu wala watu wake wa karibu hakuna aliyejitokeza na kutoa ufafanuzi kuhusu ujumbe huo wa Wema Sepetu kama ni Kweli ama la
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. uongo na unafiki mtupu.

    ReplyDelete
  2. Imetoka mimba lini
    Pole da wema
    Zari team

    ReplyDelete
  3. Husda tuu mwanaume mzima

    ReplyDelete
  4. watangazaji wengi tu wachawi hivyo ndo wameanza kumloga.. washindwe na walegee. radio mbao. mavuzi.com. soudy mwanaume kama mabinti

    ReplyDelete

Top Post Ad