google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Muhimbuli Hali Bado Tata Wagonjwa Wanalala Chini Japo Tuliambiwa Vitanda Vimenunuliwa...Nini Tatizo? | UDAKU SPECIAL

Muhimbuli Hali Bado Tata Wagonjwa Wanalala Chini Japo Tuliambiwa Vitanda Vimenunuliwa...Nini Tatizo?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha ya Ziara ya Kwanza
Leo ukifuatilia taarifa ya habari Magufuli katembelea tena Muhimbili kwa kustukiza
kakuta matatizo tele hasa amewakuta wamama waki share vitanda hadi watu watano
na wengine wakilala chini.....

Utakumbuka few months ago tulitangaziwa kuwa baada ya Magufuli kwenda Muhimbili
vitanda vilipelekwa hadi vikakosa wagonjwa
kuna picha zilisambazwa paka kalalia kitanda kipya Muhimbili
na kwamba sasa mambo ni tofauti kabisa...vitanda tele na kila kitu saafi

Sasa binafsi siamini kabisa Muhimbili imewahi kuwa safi na matatizo yakaisha
ambacho najiuliza why 'maigizo yale ya kuwa mambo ni saafi' yaliruhusiwa
kuendelea ?

why sisi wananchi na waandishi wa habari hatukupinga kabisa habari za kuwa
mambo ni saafi muhimbili?
why habari ya leo iwe kama habari mpya
while in reality watu wameendelea kulala chini tu kama zamani?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa wanasiasa?

tatizo liko kwetu wananchi na hasa media?
tumeletewa 'sanaa tukaishangilia huku ukweli tunaujua'?
sababu muhimbili hali yake sio siri
lakini tulipoambiwa mambo sasa ni saafi tuliruka ruka na kushangilia...
huku kiukweli hali ni ile ile tu.....

Na leo tena wananchi wamemlilia tena Magufuli bila kujiuliza
ni kweli Magufuli hali iliyopo haijui?si alikwenda juzi tu hapo hapo Muhimbili?
au haya matatizo ni mapya kabisa?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tumejipanga mwaka huu wataisomaa...hahahaha tz raha saanaa

    ReplyDelete
  2. tutamuomba Mh arudi tena huko akatumbue majipu

    ReplyDelete
  3. sinema za ccm hizo kama kawaida yao

    ReplyDelete
  4. Watendaji wanamuangusha Rais

    ReplyDelete

Top Post Ad