Mwimbaji Mavoko Atoa ya Moyoni Kuhusu Watu Wanao Mtukana...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rich Mavoko amesema ni rahisi sana kwa watu walio nje ya muziki kuanza kuongea maneno pasipo kujua ni mambo gani ambayo wao kama wasanii wanakutana nayo kuhusiana na muziki huo na tasnia nzima ya muziki, anadai anatamani wangejua ni kiasi gani wanakosa raha na kukosa usingizi sababu ya hizo kazi.

"Ukiwa nje inawezekana unaweza ona mchezo ni rahisi ila ukiwa ndani ya mchezo utajua ugumu wake kiukweli hatulali kwa ajili ya hii kitu, natamani hata wewe unaye tukanaga watu ungejua ugumu wa izi mambo ungeishia kuachia mdomo wazi sisi ni kati ya watu tunaosakamwa lakini bado tunajali uwepo wenu na kuwategemea, ningependa kusema haya ni maisha ya kioo ila baada ya hapa uzee hivyo lazima tulijue hilo... #tusidharuliane" Alisema Rich Mavoko
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nyie wasanii msipende kuharibu kiswahili kwa kuiga kiswahili wanachoongea wakenya, ''izi mambo'' ndio kiswahili gani!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad