Ommy Dimpoz Amtupia Dongo Kistaili Idriss Sultan Kuhusu Kupata Hela za Big Brother na Kuja Kuzitumbua na Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki Ommy Dimpoz Amemrushia Dongo la Kiana rafiki yake Idriss Sultan Mshindi wa Shindano la Bigbrother 2014 Kwa Kuandika Haya Kwenye Ukurasa wake wa Instagram;

"Hii picha ni Pale Team Wemasepetu watakapogundua kumbe Idris Sultan hana Kizazi..Happy Birthday Milionea mwenye kampuni mbili zilizoajiri watu 7  Umekaza sana mwana kutoka kupiga picha, Kukaa ndani kama mwali Miezi 3 halafu ukapewa Hela ambazo umeamua unazitumbua na Miss wetu Kila la lakheri mwana nakuombea zikiisha tuachie Miss wetu sawa?mtoto tutamlea wenyewe  (UZURI WA IDRIS HANUNAGI MTOTO WA WATU" Ommy Dimpoz

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sina uhakika na maana halisi ya ujumbe wa ommy lakini kusema kamaanisha kuwa Idris hana kizazi hapana kwani idris hajafikia umri wa kuwa na wasiwasi na kizazi chake. Huenda ni dongo tu kwa maneno yasemwayo na baadhi ya watu mitaani ya kashfa zisizokuwa na msingi wowote

    ReplyDelete
  2. dongo la mwanafudenge hilo.

    ReplyDelete
  3. Tutaacha mwwaka gn kashfa Na fedheha zisizokua Na msingi zinarudisha nyuma maendeleo

    ReplyDelete
  4. non of ur bizness fuck off uatilia muziki wako maana unaanza kupotea mdogomdogo

    ReplyDelete
  5. OMMY SIJAKUELEWA NA WALA HUPENDEZI NA MANENO YAKO, ULIJUAJE IDRISA HANA KIZAZI ULIMPIMA INAHUUUUU

    ReplyDelete
  6. kwani dimpo anawatoto wangapi??? au kakosea masikini kajikuta anaandika tu.. halafu ela ya mtu ni yake anaitumia atakavyo wewe inakuuma ya nini ata akitumbua na miss. jamani wasanii acheni kuoneana wivu.. khaaa!!!

    ReplyDelete
  7. Na hiyo picha ya kuchapwa bakora Na mtoto mdogo naomba usaidizi sijaielewa au ndio nyimbo zenyewe

    ReplyDelete

Top Post Ad