Picha Mpya za Zari Zilizowaacha Team Wema Midomo Wazi na Kukubali Yaishe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana Zari Ameshare Nasi Picha hizi Ambazo Zimezua gumzo mtandaoni kwa wengi kusema amezidi kuwa mcharo utazani binti wa miaka 21 ....Yaani Huwezi Amini kama ni Mama wa watoto wanne mmoja akiwa ni wa Mwimbaji Diamond Platnumz.....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

66 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wamependeza wote na mama mond naye kapendeza wameringanaringana hivi dah mi sio team yeyote ila nimekubali ukiwa na visenti uzeeki ovyoovyo. mama mond hongera kwa mwanao kukuletea mjukuu mzuri

    ReplyDelete
  2. acheni unafiki. kashambuliwa ni kizee. kajipodoa kaficha na macho yasionekane. minyonyo imekabwa mpaka kwapa linatoa jasho.

    ReplyDelete
    Replies
    1. teheteheteheee mbavu zangu jamani wanichekesha yalaaa

      Delete
    2. Mnafiki wewe anonymous 8:32. Msenge malaya weeë. Kibaraka wa timu ushuzi. Mbona husemi kuhusu mkorogo wake uliomgeuza pundamilia au minywele yake bandia au range rover la kuazima au nyumba ya kupanga anayodai kajenga yote tisa kumi mimba ya mawe!? Mara aseme ina mwezi mara wiki 12 mara miezi sita. Zari anawanyooshajeee.Pumbaff weee. Unanukaaaaaa

      Delete
    3. Nimekupendaje

      Delete
  3. hiyo ni 360. Kifess anajitahidi sana asikosee. boss akamfukuza kazi.

    ReplyDelete
  4. nywele fake, poda fake mwili fake, umbo fake.+ 360 ya kuwaonyesha watu she is not 45.

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe mwenyewe fake hovyoooooo

      Delete
    2. Hata Wema sura fake nywele fake gari fake nyumba fake wanaume fake. Anajidai hajui kiswahili wakati mswazi maarufu. Kazi yake kulea wanaume. Sasa zamu ya Idrissa. Akishambemenda atamrudisha kwao.

      Delete
    3. WEKA PICHA YAKO TUKUONE NA WEWE KAMA SIO FAKE,MICHIRIZI.
      HATA MTOKWE NA MAPOVU VIPI,ZARI MZURI TU

      Delete
  5. Hata aonekane mdogo kiumbo haimfanyi yeye kuwa mdogo kiumri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata yule kura 90 haonekani mdogo kwa Idrissa na hakuwahi kuonekana mdogo kwa mondi. Zari yuko juu na ataendelea kuwaburuza. Mna hasiraaaaa hahahahahah

      Delete
  6. anajitahidi kujikondesha ila bado ni mnene na anajichubua sana ili aonekane 25 yrs. kumbe 40+

    ReplyDelete
  7. Du! maziwa yamebanwa mpaka kwapa linatoa jasho yoote aonekane kijana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. la kwako umeliona??????????? angalia kwanza kwapa lako ndo useme ka mwenzio. mtasema lakini usiku ukifika mtalala pumbavu zenu

      Delete
    2. Hata kwapa ya mama ako inamwaga jasho kama bomba la dawasco. Na sura yake mbayaaaa kama mk*n*u wa kura 90.

      Delete
  8. Kifes hakosei lazima amgeuze Ajuza awe sister duuu. wapi kajalaaaaaa

    ReplyDelete
  9. too much mekurp. hakuna jipya

    ReplyDelete
  10. Lkn amecheka picha moja meno yake bado mapya meupeee kila kitu feki mtumeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe kuanzia kucha mpaka unywele wa utosini ni fake bora huyo ukimwona utafikiri ni 25 year kuliko wewe nunga embe hovyoooooo

      Delete
  11. M.mke mzuri tabia jamani watanzania mmelisahau Hilo si umbo,si umri Ni TABBIA

    ReplyDelete
  12. Laiti angejua rangi yake Ile ya zamani ndio nzurri juu mkorogo mi lenzi machoni anaonekana age ya MKWEWE Na brother Dai bwege anaibiwa mchana

    ReplyDelete
  13. pendeza sana dada...kaka simba anatafuna taratibu

    ReplyDelete
  14. Kina mama msihadaike Na hiyo mikorogo Na macreams yanazeesha yanaonyesha mzee zaidi Na hayo make up mbona weusi mzuri Sana tena so easy to make people beautiful kama vile Hadija kopa,monalisa,lady jadee so natural wazuri kila siku Na hawazeeki hata bila ya make up

    ReplyDelete
  15. Very beautful zari,wewe mzuri zari

    ReplyDelete
  16. Ila zari mzuri jamani

    ReplyDelete
    Replies
    1. SURE!! MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI. ZARI MZURI JAMANI !!!MTKAKE MSITAKE!!!

      Delete
  17. Pandeni shukeni kitu akibadiliki nikuwa ashakuwa mama tiffa forever u can change that

    ReplyDelete
  18. Mm sipo team yeyote ila mashaallah Zari ww ni mrembo sana tena sana utasema hujazaa, hao wanaokuponda wanachuki binafsi.

    ReplyDelete
  19. Wivu itawauwa watanzania woooi

    ReplyDelete
  20. Zari mwaya achana na hao wanaokusema wana wivu na chuki binafsi zinazowasumbua wabongo kwa chuki na wivu ndiyo wenyewe wewe Zari ni mrembo sana kuliko hao wanaokusema vibaya na hata kama una umri wa miaka 35 mbona 35 ni umri mdogo sana ila wabongo wako nyuma sana wanafikiri mtu ukiwa na miaka 35 ni mzee, hapa ulaya hata kama ukiwa na miaka 40 huitwi mzee, wabongo wako nyuma sana kwa kila kitu hata kielimu. Zari wewe ni mrembo sana tena sana achana na hao wabongo wanaokuponda

    ReplyDelete
  21. hivi agekuwa mweusi ugesifia

    ReplyDelete
  22. umekosa kitu cha kupost ww ndo nn iyooooh sasa apo juuu

    ReplyDelete
  23. umekosa kitu cha kupost ww

    ReplyDelete
  24. Tena Zari angekuwa hapa ulaya wanaume wa kizungu wangempenda sana yaani wanaume wa kizungu wangemtamani sana wanaume wa kizungu wanapenda wanawake wa kiafrika wenye uzuri kama wa Zari kuanzia rangi mpaka sura. Mrembo Zari wewe ni mrembo sana kutoka kwa dada wa kitanzania ninaeishi ulaya

    ReplyDelete
  25. Mimi mweupe wa kuzaliwa km queen Elizabeth hhhhh nipo juuu Na mume wangu mweupe km Price Chalse heeee wale weusi km Diamond mtajiju

    ReplyDelete
  26. mnababaika na editing. ulizeni kwanza alivyokuwa zamani. anafanana na bi sandra.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utakufa na wivu zamani ulizaliwa

      Delete
    2. Wewe muongo sana,kwani picha za zamani unaziona wewe tu?
      ZARI MZURI KWA SANA TUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

      Delete
  27. hata ajibadilihishe vipi uzee uko palepale. chezea editing ya kifess.

    ReplyDelete
  28. Hata Mimi mweusi km bi Sandra ningeegemea sehenu ya Ivan Na upande mwengine Daimind nungekua mweupe kuliko mzungu viatu virefu kila kona. Na sunglasses Lkn nauza samaki feri Kula Na bahati yk

    ReplyDelete
  29. duh. unaweza ukafikiri ni hoja ya maana

    ReplyDelete
  30. nyie wabongo na akina team wema kila kukicha hamna kitu cha kufanya mnamsema Zari na mtoto wake tena Diamond na Zari wamepata mtoto mzuri kama malaika donge linawauwa tatizo mmemkosa Diamond mlikuwa mna tamaa za pesa zake nawajuwa wabongo kwa tamaa ya pesa ndiyo wenyewe Zari anayo mapenzi ya kweli kwa Diamond na si sababu ya pesa kwani anazo pesa zake mwenyewe na mjue Diamond hamwachi Zari hata mseme nini mtaishia kusema Diamond ameshawachoka wanawake wa kibongo kwa tamaa zenu kama fisi pia pamoja na umbea wenu na ndiyo maana kamchagua msichana mrembo wa kiganda Zari, huyo mrembo katulia kuliko yule mapepe wenu Wema na Diamond hatorudi kwa Wema kwani Wema sio mrembo kama Zari hata kidogo hata mseme nini mtaishia hivyo hivyo, mimi mtanzania naishi ulaya hata hapa wabongo wa hapa mimbea kama nini mambo ya kiswahili wanayaleta hapa ndiyo maana mimi siongei nao mimi hapa marafiki zangu ni wazungu tu maana wazungu wamesoma hawana muda wa kukaa na kuongea umbea.Zari na Diamond nawatakia mapenzi mema tena mwenyezi Mungu atawabariki muishi maisha marefu na nyie akina team wema go to hell.

    ReplyDelete
  31. eti mnasema Zari anatumia mkorogo mnamuonea donge nyie wenyewe hata hela ya kununua mkorogo hamnazo eti zari anatumia make up nyie wenyewe wabongo hata hela ya kununua make up hamnazo hata kama Zari anatumia mkorogo na make up basi anatumia ya bei kali sana kuliko nyie wabongo mnaemsema mnatumia mikorogo ya kupimiwa na vijiko uswahilini. Da mrembo Zari uko mrembo sana kutoka kwa dada wa kitanzania ulaya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. yes ni mkorogo,jiulize wadogo zake tumbo moja mkaa,watoto wake wa kuzaa mkaa,why yeye mweupe peka yake?kaangalie picha aliyofunga ndoa na ivan ile ndio rangi yake acheni kujitoa ufahamu kwa mambo ya ukweli.

      Delete
  32. Eleeni mimba
    Kama edit fanyeni Na nyinyi

    ReplyDelete
  33. She is beautful

    ReplyDelete
  34. Mbona wote wapo ki editing ila mmoja kamzidi mwingine,ila kwa upande wangu nimeipenda editing ya kikongwe! Mashaallah!

    ReplyDelete
  35. inawasaidia nini wa tz mburura wanasifia maudongo

    ReplyDelete
  36. Zari na diaond ni ni kapo nzuri sana tena mnapendeza sana na Tiffa ni murembo sana kama malaika mimi nitakua team yenu milele, kuliko yule team wema, wema ni nani? Kutoka hapa kwa dada anayeishi ulaya

    ReplyDelete
  37. hata ukiwa team mavi nani anashtuka na wewe Anony 4.49 PM. kabebe mabox na usihahu kuwanawisha vizee kama zari mavi.

    ReplyDelete
  38. Team Zari i l Always love you, ooh i will Always love you.kutoka kwa dada yako ulaya

    ReplyDelete
  39. Zari sio mzee Zari ni kijana tena mrembo wa Nasibu au zari mrembo wa Diamondi platimz mkae mkijua hivyo, wa akina wema roho ina wauma sana, mwacheni Zari atulie na Diamond. dada wa Zari anayeishi ulaya

    ReplyDelete
  40. YES ZARI MZURI SAAAANAAAAAAAAAAAA PENDA USIPENDE

    ReplyDelete
  41. Zari rafiki yangu uko mrembo sana achana na wabongo wanaekuponda. mimi ni team yako kutoka ulaya na ni mtanzania naishi ulaya

    ReplyDelete
    Replies
    1. we nae ulaya ulaya ulaya,kwani ulaya mbinguni?ebu kwenda zako uko,uwezi komenti mpaka useme ulaya?shenzi we.

      Delete
  42. ILA WEWE KINJE MUNGU ATAKULAANI KUBEBESHA WATU UNGA,ZARI NA MOND NI PUNDA WA KINJE,KUBALINI KATAENI.PERIOD

    ReplyDelete
  43. mimi mtanzania nayeishi ulaya natumia mkorogo vilivile tena wa bei mbaya sana mpaka wazungu wananiita Michael Jackson sasa kama mtu ukitumia mkorogo kuna tatizo gani,natumia pesa yangu mwenyewe, nakula pia nakunywa kwa pesa yangu mwenyewe navaa na starehe kwa pesa yangu mwenyewe, sasa acheni kumwandama na kumsema mrembo Zari.Luv u Zari kutoka kwa dada yako wa kitanzania kutoka Ulaya

    ReplyDelete
  44. ndiyo mimi niko Ulaya naishi maisha mazuri kama Zari wewe Anonymous 6:31 unaishi uswahilini jua linakuchoma kila siku hata hela ya kula huna unakula ugali kila siku, mimi naishi ulaya hapa nakula chips kuku, pizza na vyakula vya bei kali. Luv you Zari achana na wanawake wa kibongo yako mimbea sana nafikiri Zari unajua hivyo. Halafu mbona mimi namuona wema anaonekana mzee angalieni kidevu chake kama kinaanguka na amevimba nyuma ya mgongo analo bonge la nundu ile nundu ni alama kuwa Wema ana ngoma na ndiyo maana huwa analificha hilo nundu lisionekene kuwa watu watamgundua, mimi nimesoma sana mambo ya hiv, kuwa mtu unaweza kuwa na nundu inabidi Wema uende hospitali ukatoe mafuta yaliyojaa kwenye hilo linundu. Luv you Zari kutoka kwa rafiki yako Ulaya

    ReplyDelete
  45. ulaya your assssssssssssssssssssss.

    ReplyDelete
  46. wema kapime hiv, mimi hapa ulaya nimeshapima na niko mzima tu

    ReplyDelete
  47. ulaya ulaya unanikumbusha nyimbo fulani hivi

    ReplyDelete
  48. mwacheni Zari na mtoto Wake tena mtoto wa Zari ni murembo sana, msimseme mtoto kwani mtoto amewakosea nini? Zari mimi ni mtanzania naishi Ulaya kila mara nikiona watu wanaandika sms mbaya kwako nalia sana eti wakakuita mzee, mimi mwenyewe nina miaka 35 hamna hata mtu mmoja ameniita mzee hapa ulaya,tena nitazaa mtoto na mchumba wangu wa kizungu mwaka kesho nikiwa na miaka 36 na siko mzee

    ReplyDelete
  49. Penda sana Zari waswahili ndio tulivyo maneno yasikuumize wifi

    ReplyDelete
  50. Penda sana Zari mama Tiffah upo juuuuuu!!!!!!!

    ReplyDelete
  51. jamani muacheni zari ale maisha yake jaman na mume wake,,,nyie endeleeni na yenu tuuu....love uuu Yarina Uko mzuri sn kuanzia sura yako na everycn acha wabwate hao hadi mapovu yawatoke

    ReplyDelete

Top Post Ad