Rais wa South Africa Jacob Zuma Acopy na Kupaste Anachofanya Magufuli kwa Tanzania...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zuma yupo analihutubia Bunge, amechukua hatua za kukata matumizi ya serikali sawasawa kabisa na alivyofanya Magufuli , mfano safari za nje lazima zizipate kibali, sherehe za kibunge, kusafiri nje na delegation kubwa marufuku na mengine mengi.

Ama kweli Magufuli ni mfano duniani!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mumejipa jibu wenyew wakat munampond na musijue kwamba kunainch ambaz zinahitaj rais kama Maguful hazimpat. Mim sio mtanzania ila kwa bara la afrika Magufuli ndie rais bora. Ila watanzania kutokan na akili zao finyu, chuki, na kua na elimu ya chini bas hilo hawalioni. Bungen kumejaa wat ambao hawajui faida ya inch na wanatak kwendelea kweny mifumo ya zaman ya kujilundikia mamilioni ya pesa wakat wanainch hal yao niakusikitish. Namuomb rais na kamati husik wachukue musimamo mkal kwa wabung wot ambao wanalet vurug bungen na wal huwa wanajitoa inj ya bung kwan hao hawan nia nzur na wanainch walio wachagua. Unakwend bungen il uwakilish mwanainch ila ukifik tuu basi yamekwish et mshahar wang tayar, ikifik wakat wakujadil mamb ya maana wew unalet vurug, mara utok inje kish hapo unategemea mushahar? serekal iwacukulie hatua kal kwa wal wot weny tabia hiy na wasipat mshahar kwan hawafai kweny kutekelez majukum yao waliotumw na wanainch. Na ikibid wawauliz wal walio mchagua ili afukuzw bungen na wachague mwingin.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi niko na hamu Magufuli angekuwa kwetu.

      Delete
  2. SAFI SANA,KIZURI NDIO CHA KUIGWA.AFRIKA MOJA,AFRIKA WAKAWAKA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo la Tanzania ni moja ELIMU.

      Delete
    2. Hao wanaopinga kila kitu tatizo ni KUUUBWA ni ELIMU

      Delete
    3. halafu wewe unaejifanya siyo mtz ukome kututukana watz, akili zetu finyu unatulisha wewe!!? Pumbavu zako. kwa hiyo hata kama kuna kasoro watz tusiongee!! nenda kwanza kajifunze kuongea kauli nzuri ya heshima ndiyo uje hapa ucomment! Nyau wewe.

      Delete
  3. kama we sio mtanzania inakuhusu nini elimu yetu? kafie uyole. kwa namna unavyoandika tu we ni mtz... ndio nyie tunawaita mkataa kwao mtumwa. nakufananisha na watanzania waliokimbia kwenda kuwatumikia watu ughaibuni alafu wanatoa judgment kwa sisi tunaokomaa na nchi yetu. kama umemkubali rais wetu hajawekwa hapo na watu wakwenu amewekwa hapo na watz. na usidhani kuwa tutamsifia kila anachofanya na tukikosoa haimaanishi hatumtaki. kajipange upya ndio utoe commment.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kachambe huko no sense wewe umeifanyia nini nchi yako mpaka umpinge JPM???????????

      Delete
  4. We anonymous 8:57 na 2:18 nyiny kwel hamukwend shulen nawagundua. Na munahitaj mtu wa kuwaelewesh. Una support upinzan et oneshen vikao vya bunge live wakat munajua kwamb kuonesh live sio bure na ni mabilioni ya pesa itatumikishw wakat hiz pesa zinge saidia kwa mambo yangin yamaana mfano: hospitalini, kwanz nyiny hamun maji safi, umeme hamuna elimu bora hamun na njomaana muko moja yao wenye elimu finyu. Et tumikish mabilioni ni mutazam Lisu, Mbowe, ujinga mtupu. Hizo zitanunua vitand hospitalini, maji safi na wakup elimu bora il uelewi ukweli achen ushabik wa ujing, wa kibumbafu. Sis huk tunalip kodi ya TV, RADIO, COMPUTER,SIM na hatufati live sasa nyiny hamutowi kodi ya hayo yote kish munatak live wajinga nyiny, wapotofu. Nyinyi ni wale walio tesa serekali kwa ufisadi na kutesa wanainch sasa acha awap adabu zenu siku zenu za kuiba zimekwisha munabak kwend jela kwa ufisadi. Honger Magufuli na unanifany niipend Tanzania kwa utendaji wako kazi. Usiwap muda wa kupumzika hawo mafisadi na wavivu na hawo weny akil finyu.

    ReplyDelete

Top Post Ad