google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Ray C Aeleza Jinsi Magazeti ya Udaku yanavyo Mliza Mama yake | UDAKU SPECIAL

Ray C Aeleza Jinsi Magazeti ya Udaku yanavyo Mliza Mama yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema mama yake amekuwa akipatwa na presha mara kwa mara kutokana na habari anazo ziona kwenye magazeti ya udaku kuwa mwanae amerudia matumizi ya madawa ya kulevya.

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Television, Ray C amesema mama yake hana amani kutokana na mambo yanayo andikwa kwenye magazeti ya udaku.

“Mimi naweza nikasema nakushtaki, wewe una hela zaidi na unaweza ukanishinda, your powerful get a gun watu wanifyatue na wampige mama yangu, maana mama yangu yupo hospitali ana presha kwa sababu ya gazeti yake,” alisema Ray.

Wiki chache zilizopita gazeti la Ijumaa liliandika habari kuwa mwanadada huyo alionekama mazingira fulani ambayo yanadaiwa kupatikana madawa ya kulevya.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ray c ukweli unao mwenyewe kama umeridia unga ila tatizo la unga tiba unayo mwenyewe dawa za hospital ni za kumaliza tu kufanya mabadiliko ya kweli ndo yatamaliza tatizo lalo

    ReplyDelete

Top Post Ad