Sakata la Zari na Makalio Bandia Lashika Kasi Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Achana na habari zote zinazotikisa kwa sasa,habari ya Zari a.k.a Boss lady kuweka makalio ya bandia imeshika kasi.

Kama mtakumbuka majuzi hapo Zari alihudhuria hafla ya tangazo la Vodacom ambalo yeye na mwenzi wake Diamond wameingia mkataba wa kulitangaza bibie Zari alipigilia kigauni matata chekundu.

Hafla hiyo imezua minong'ono mingi kuhusu Zari wengi wakidai ni mzee kuliko anavyopost picha zake yeye mwenyewe (too much editing) maana wadau waliokuwa pale walimpiga picha original ambazo zimezua kizaazaa.

Achana na hilo la sura balaa kubwa lipo kwenye shape aliyoonekana nayo Zari kwenye hafla hiyo kuwa tofauti na ile tuliyoizoea hadi wadau kuhoji je bibie Zari nae ni mdau wa kigodoro? (kuvaa nguo za ndani zilizotuna kuboresha muonekano wa shape)

Maneno pembeni, hapa kuna picha za Zari kabla akiwa na shape tuliyoizoea na shape 'TATA'.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Akadangajage tuu

    ReplyDelete
  2. Wekeni Na. Nyinyi
    Tuone Kama mtakuwa Kama yeye

    ReplyDelete
  3. Sasa shida hiko wapi? Kaweke na wewe kama nirahisi mmekalia kupiga midimo mwenzenu azidi songa mbele. Aliye kuzidi kakuzidi tu. Tujifunze kukubali.

    ReplyDelete
    Replies
    1. shida ipo pale anapowasema wenziwe fake wakati yeye mwenyewe ni fake no. 1.

      Huo weupe wake sio original kwani asili yake hakuwa hivyo, makalio fake na pia picha zake fake kwani physically sura yake choka mbaya kabisa.

      Watu wengi sana (wake kwa waume) wanajibadilisha lakini yeye anasemwa kwa vile haishi kuwasema watu fake hali ya kuwa mwenyewe hayupo kamili

      Kuwa na uwezo wa hali na mali hakumpi mtu kibali cha kudharau wasokuwa nacho. Kwani kupata si akili na kukosa si ujinga - yote haya ni kwa uwezo wa Mungu peke yake

      Na ndo maana waweza kuwa na kila kitu lakini ukakosa furaha/amani na yule ambae maisha yake ya kubangaiza akaishi kwa furaha ajabu

      Maisha ya mashindano tuwekeni pembeni na tumshukuru Mungu kwa kila jambo

      Delete
  4. muacheni mwenyewe awe na ya bandia au original ni yeye na dai amempenda hivyo hivyo kwani wakilala c wanaonana fateni yenu mjenge maisha na familia zenu hao walopewa hayo makalio mazuri bado hawariziki wanakwenda kuchongesha tena ije kua yeye achen izo bwana

    ReplyDelete
  5. kuwa na umri mkubwa lkn ukawa mototo mzuri unavutia na kuwa na miaka 22 lkn sura wa mama wa miaka 38 bora kipi.

    ReplyDelete

Top Post Ad