‘SIMBA’ Amfanya Alikiba Ashindwe Kufanya Uzinduzi wa Lupela Mbugani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana pande za SlipWay ,Ali Kiba alizindua video yake ya Lupela lakini mipango yake ilikuwa ni kufanya uzinduzi wa video hiyo kwenye mbuga za wanyama.

‘’Nilitamani sana kwenda kufanya ndani ya mbuga ili I’make sense’ zaidi ili ‘honey’ wangu Lupela ainjoy zaidi lakini kiukweli ilikuwa ni uoga wangu tu,asije akatokea simba halafu Lupela akafia pale pale,lakini sio kitu tumefanya kitu kizuri na tumejaribu ku’create’ vitu ambavyo  watu watapenda tumecheza,tumeinjoi,kuna ‘parts’ za elephants kidogo kuonyesha kwamba najali jinsi gani kwamba mimi ni balozi nafanya kazi yangu vizuri,’’Ali Kiba

@cloudsfmtz on Instagram
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umefanya vizuri Kiba, anaekusema anawivu na hana akili.

    ReplyDelete
  2. Sinta kakuponda sana, maskini hajui watu wanaenda na fassion. uzee unamuanza kwa kupoteza akili.

    ReplyDelete
  3. ilikuwa nzuri sana, hakuna fujofujo wala kelele za wamachinga.

    ReplyDelete
  4. Penda King Kiba mzee WA ulietuliza akili sio wengine sifa nyingi kuliko vitendo

    ReplyDelete
  5. yes ilikuwa soo nice,na waalikwa wanajielewa sana.

    ReplyDelete
  6. NAPENDA SANA KIBA ANAVYOFANYA KAZI ZAKE HANA KIKI NA MSURURU WA WATU KAMA MWANAFULANI. HATA AKIENDA CHOONI ANATAKA WATU WAJUE.

    ReplyDelete
  7. kwa lugha ya zamani huyu mwanafulani tungimwita BISHOO tu, hana lolote, kila cku anataka atokee magazetini!

    ReplyDelete
  8. Acheni jumpa moyo mwenzenu hakuna kitu hapo

    ReplyDelete
  9. Bado sanaaa hata amonaiz sasa hivi hamuezi

    ReplyDelete
  10. uko vizur sana kila mtu analijua hilo

    ReplyDelete
  11. Ha ha ha timu ushuzi Makombo ya platnumz

    ReplyDelete
  12. Watu hawawezi kuwa sawa bwana na ndiyo inatakiwa iwe hivyo ili tupate vitu tofauti tofauti! Ali K fanya yako kivyako

    ReplyDelete

Top Post Ad