SIRI ya Urembo wa Zari Yabainika...Hufanya hivi ili Aendelee kuwa Mbichi Japo Ana Watoto Wanne

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtu wa karibu wa Zari Hassan Ametupenyezea siri ya Zari kuendelea kuwa mrembo japo ana watoto wanne kuwa ni mazoezi na kula vizuri...Anasema kila asubuhi na jioni lazima aingie Jimu japo bado ananyonyesha na kuzingatia vyakula anavyokula

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwahiyo tufanyeje?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Muendelee kunyooka. Hahahaah. Na anawanyima raha haswaaaaaa

      Delete
  2. mbona sura yake imeshazeeka japo anafanya mazoezi.

    ReplyDelete
  3. HATABADILIKA MWILI BUT UMRI UKO PALEPALE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani Wema anavyojikoroka atabadilika nini? Au anavyojifanya kiswahili kinampiga chenga atabadilika nini? Si anabaki yule yule mtoto wa ma*a*a alieokotwa bar na mzee Sepetu? Mfyuuuu.

      Delete
  4. sio wema namichemsho yake,sura km sinia la shughuli halafu anataka kushindana na zari

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha anonymous 5:56 umenichekeshajee. Ila umesahau kutaja mistari ya pundamilia na makovu ya ajabu ajabu kwenye ngozi.

      Delete
  5. Hatutaki picha za editing alete zile za Vodacom tipwatipwa Na ziwa ,ziwa Na rangiyk ya kisomali hizo Editing za uongo Na mishindano ya Yso pia anatumia Asitudanganye yeye si anataka kutoka kwenye madia kila siku

    ReplyDelete
  6. usimshindanishe mtu wa miaka 28 na kizee chenye miaka 48. mabweha wa akili

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndo bweha namba 1 huyo wema unaweza milinganisha na zari????? huyo unayemsema wa miaka 48 ni mzuri na analipa kuliko huto bweha mwenziyo mfuuu

      Delete
  7. hapo jim namuona katako kamebanda ni flat screen alikuwa bado ajapachika kaliofeki. kweli kazeeka vibaya siku nyingine anasahau kupachika makalio feki

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe vaa ili tukuone msenge wewe

      Delete
    2. WIVU TU!!!!!!!!

      Delete
  8. wa bongo mmezidi wivu. mpe zari haki yake jamani!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. Ushauri WA bure nyinyi wanawake WA bongo inahusu nini kushindana na zari
    Kisa yupo Na nasibu
    Kweli hamna kazi

    ReplyDelete

Top Post Ad