Uwepo wa Askofu Gwajima Kwenye Mkutano wa Rais Magufuli na Wazee wa Dar es Salaam Wazua Maswali.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Uwepo wa Askofu Gwajima kwenye mkutano wa Rais Magufuli na Wazee wa Dar es Salaam jana umepokelewa kwa hisia tofauti.

Nini maoni yako?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hakuna tatizo lolote wananchi wote wameungana kusaidiana na rais na yeye gwajima ni mtanzania kama wengine anao uhuru kusikiliza maoni ya serikali au wa upinzani

    ReplyDelete
  2. cha ajabu nini hapa???????????
    msikuze mambo
    hapa kazii tuu hajarishi katoka wapi wala chama gani wala dini gani

    ReplyDelete
  3. Hakuna cha ajabu ni haki yake nyie udaku nao mnadakua sana

    ReplyDelete
  4. POA TU,NDIO WATU TUNAWATAKA TANZANIA,KUACHA TOFAUTI ZETU.
    MAANA KUNA WALE VIONGOZI WA KUZUNGUSHA MIKONO HATA SIKU RAIS
    KATANGAZA NCHI NZIMA IFANYE USAFI HAWAKUSHIRIKI KIKAMILIFU.INAONYESHA WAZI NI CHUKI.

    ReplyDelete

Top Post Ad